Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mwenyewe nna shaka shaka ila kama wapo wanaopata pia wasiopata wanaweza kuwepoSidhani kama Kuna mtu hapati ndoto ase
Pia inawezekanaSidhani kwenye Hilo labda hakumbuki akiamka
Sio vzuri kutokukumbuka ulicho otaSio nzuri halaf zinasaidia kitu kinacho saidia nnavyojua daima hua kizuri hem fafanua vyema
Kweli ila anaweza akabadili mazingira akaanza kuotaOoh lakini Kuna wengine wanota anakumbka aliota ila alichokiota ndo hakumbuku....sasa huyu Hana hata hiyo
Kwa niniSio vzuri kutokukumbuka ulicho ota
Ndoto zinatoa taarifa za mambo mengi, yajayo na yaliyopita.Kwa nini
Hapa sawaNdoto zinatoa taarifa za mambo mengi, yajayo na yaliyopita.
Hivi huwa kuna utofauti wa ndoto za wanaume na wanawakeWengi hufikiri hawapati ndoto ila sio kwamba wapati ila hawana kumbukumbu tu kuwa wameota nini🤔