Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa ?

Mimi kuna wakati nakumbuka niliyoota ila kuna siku sikumbuki. Last time naota niliota nakimbizwa na simba mzee nikapanda juu ya mti kisha nikamuangukia nikamuua🤣! Mara nikaota nimegraduate chuo. Ndoto huwa zinanichanganya sana😀
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…