Je, hivi vitambulisho vya kufanyia biashara vinatolewa haswa kwa kina nani?

mfate42

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
4,034
Reaction score
4,792
Hod humu jukwaan,..mimi n mjasiriamali ambae hapo mwanzo nlijisajiri na kupewa tin namba tra..na nimekuwa mlipaji mzuri tu wa kodi,..miezi michache iliyopita likaja tangazo la kwamba wote wenye mitaji chini ya milion 4, wanahitajika wawe tu na vitambulisho amabvyo vinapatikana kwa elfu 20 tu..kinachonichanganya akili ni kwamba je mimi nikikata hiki kitambulisho, tra hawatonisumbua tena kwenye mapato kama zamani au hili likoje wadau...naomba mnipe ufafanuzi kwa wenye uelewa zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu unalo. Mtaji wako ni sh. Ngapi kama ni < = 4,000,000/= Chukua kitambulisho. Kamani > 4,000,000/= endelea na utaratibu wa zamani
 
ni mauzo ghafi kwa mwaka kama hayafiki 4,000,000 yani kwa siku mauzo yako yasizidi 11000 unapewa kitambulisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…