mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
Hod humu jukwaan,..mimi n mjasiriamali ambae hapo mwanzo nlijisajiri na kupewa tin namba tra..na nimekuwa mlipaji mzuri tu wa kodi,..miezi michache iliyopita likaja tangazo la kwamba wote wenye mitaji chini ya milion 4, wanahitajika wawe tu na vitambulisho amabvyo vinapatikana kwa elfu 20 tu..kinachonichanganya akili ni kwamba je mimi nikikata hiki kitambulisho, tra hawatonisumbua tena kwenye mapato kama zamani au hili likoje wadau...naomba mnipe ufafanuzi kwa wenye uelewa zaidi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app