Je hizi ndizo filamu 10 zinazotisha zaidi Duniani?

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Filamu ya kutisha Ya Sinister imeongoza katika orodha ya filamu za kutisha Kwa Mujibu wa utafiti wa kisayansi. Katika nafasi ya pili ni The Ring, ikifuatiwa na Skinamarink.

Katika List hii kinachoangaliwa si maoni ya Watu, tuzo Zilizoshinda au mapato ya filamu. Badala yake, watafiti huangalia Matokeo Ya Miili Ya watazamaji wakati wa kutazama filamu, kama vile:

Mapigo Ya Moyo Kwenda Kasi, Kuongezeka Kwa Hofu Mwilini N.k Kwa hiyo, filamu inayowafanya watazamaji waogope zaidi kimwili na kupata mshtuko mkubwa zaidi ndiyo hupata nafasi ya juu katika orodha hiyo. Sinister ilionekana kuwa filamu iliyosababisha mwitikio mkubwa zaidi wa hofu kwa watazamaji, ndiyo maana ikashika nafasi ya kwanza.

Filamu nyingine zilizokamilisha 10 bora ni:

1. Sinister

2. The Ring

3. Skinamarink

4. Insidious

5. The Conjuring

6. Hereditary

7. Smile 2

8. Smile

9. The Exorcism of Emily Rose 1

Filamu ya kutisha Ya Sinister imeongoza katika orodha ya filamu za kutisha Kwa Mujibu wa utafi...jpg

Filamu ya kutisha Ya Sinister imeongoza katika orodha ya filamu za kutisha Kwa Mujibu wa utafiti.jpg
Filamu ya kutisha Ya Sinister imeongoza katika orodha ya filamu za kutisha Kwa Mujibu wa utafi...jpg
 
Mimi bhana katika filamu zilizowahi kunitisha ni ''Mzee wa Busara'' ,ya kawaida sana ila ina kitu kinatisha , ila hawa wapaka chokaa kama nsyuka, mama mwenye nyumba , shumileta ni za kawaida sana na kipind zinatoka tayari najielewa .
 
Filamu ya kutisha Ya Sinister imeongoza katika orodha ya filamu za kutisha Kwa Mujibu wa utafiti wa kisayansi. Katika nafasi ya pili ni The Ring, ikifuatiwa na Skinamarink.

Katika List hii kinachoangaliwa si maoni ya Watu, tuzo Zilizoshinda au mapato ya filamu. Badala yake, watafiti huangalia Matokeo Ya Miili Ya watazamaji wakati wa kutazama filamu, kama vile:

Mapigo Ya Moyo Kwenda Kasi, Kuongezeka Kwa Hofu Mwilini N.k Kwa hiyo, filamu inayowafanya watazamaji waogope zaidi kimwili na kupata mshtuko mkubwa zaidi ndiyo hupata nafasi ya juu katika orodha hiyo. Sinister ilionekana kuwa filamu iliyosababisha mwitikio mkubwa zaidi wa hofu kwa watazamaji, ndiyo maana ikashika nafasi ya kwanza.

Filamu nyingine zilizokamilisha 10 bora ni:

1. Sinister

2. The Ring

3. Skinamarink

4. Insidious

5. The Conjuring

6. Hereditary

7. Smile 2

8. Smile

9. The Exorcism of Emily Rose 1

View attachment 3604716View attachment 3604717View attachment 3604720View attachment 3604721View attachment 3604722View attachment 3604723View attachment 3604724View attachment 3604725View attachment 3604726View attachment 3604718
Hiyo namba 5 sijaweza kuielewa kabisa!!
 
Insidious haitishi mkuu sema nilipenda zile theory za Astral projection sijui Astra body. Nilipanga kujaribu hili.
 
Back
Top Bottom