Je, hizi ni dalili za ugonjwa gani?

Je, hizi ni dalili za ugonjwa gani?

Kamau Kingu

Member
Joined
Feb 8, 2015
Posts
71
Reaction score
7
Wadau heshima kwenu,

Wakuu nimejikuta kila asubuhi napata uchovu na usingizi mzito ingawa nawahi kulala kama saa moja usiku. Pia kichwa kinauma sana, najihisi kubanwa mafua.

Note: sifanyi kazi yoyote ngumu,

Je, hizi huweza kuwa dalili za ugonjwa gani?

 
Usingizi ukiuendekeza auishi hata, utasikia uchovu na usingizi kila wakati, kuhusu kichwa kunywa maji mengi, kama hali itakua mbaya nenda hosp, kuhusu mafua jaribu kucheki mashuka na neti kama ni safi, pia usafi chumbani, kama vipo safi inaweza kuwa yanakunyemelea hivyo tafuta dawa, pia kama ukiwa na mafua mara nyingi hufanya kichwa kuuma na kuleta homa.
 
pia punguza mda wa kulala.. lala angalau saa 4 usiku. .
ukiwa bize mchana hutalala hebu jaribu hata kutembeatembea kama huna kazi ya kutanya. . . pia kunywa maji mengi.
 
Back
Top Bottom