Je, hizi ni OFFSIDE au ni hujuma?

Je, hizi ni OFFSIDE au ni hujuma?

Mbona hamzungumzii mayale alivyompasia dogo mwokota mipira badala yakufunga? Au hamjapigwa kwa huyu mtaalamu?
 
Mbona hamzungumzii mayale alivyompasia dogo mwokota mipira badala yakufunga? Au hamjapigwa kwa huyu mtaalamu?
Hatujapigwa na wala hatuna utamaduni wa kulaumu wachezaji wetu kama nyie makolo, inatokea mchezaji yeyote kukosa nafasi za wazi duniani

Halafu kwasababu aliwafunga makolo, basi hata hana baya mwanangu Mayelle
 
Unamaanisha kwenye lile bonanza la juzi kile kigoli chakubabatiza? utopolo ni utopolo tu! kama jana geta bhamebhatoa kamasi je mechi zijazo yan ya kmc kisha azam fc ndo mtaelewa kama umegongwa hakuna chezaji pale ila bichwa kubwa tu
 
Nimekuambia hivi kama aliwafunga makolo basi hana baya mwanangu mwenyewe Mayele na hata asipo funga tena ktk mechi nyingine ili awe anawafunga makolo tu.
 
Video zako haziwezi kuthibitisha chochote kwasababu zinadisplay katika Angle Moja tu (Angle ya kati kulia), na Aliyekata hii Clip basi hakuikata kwa bahati mbaya bali amefanya kwa Makusudi kwasababu kipande chenye Angle hii Moja ndiyo kinasapport ajenda yake.

Lakini hii Clip ingelikuwa ni Video ya Angle tofauti kama vile Kulia, Kushoto, Aerial na kutokea usawa wa Kona kama wanavyofanya VAR basi ungeona kama ni Offside au Not Offside.
 
Nimeangalia kwa umakini kabisa watani wameonewa yale yote ni magoli halali kabisa,lakini Yanga bado mtabakia kua Utopolo tu.
Simba nguvu moja.
 
Huyo mshika kibendera uenda alisema hiyo mechi magoli yote ya utopolo atayakataa baada ya kupewa kitu kidogo
 
Back
Top Bottom