Je, hizi Sarakasi ninazoziona katika Uchukuaji wa Fomu za Chaguzi ndogo (za awali) za CCM zinaashiria nini kwa 2025?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kuna Wagombea wanafichiwa Fomu, kuna Wagombea wanatishwa Wasigombee, kuna Wagombea wanachafuana, kuna Wagombea wanawadharau Wenzao na kuna Wagombea pia wanasema CCM ni yao hivyo Washamba Washamba wasipoteze muda Wao kutaka kuchukua Fomu na Kugombea.

CCM kuweni sana Makini na yaliyopo!
 
Watakao katwa watahamia Umoja Party maisha yaendelee
 
CCM imejaa majangili tupu
 
Ukitaka utakatifu ndani ya CCM utatafuta wee mpaka ukome utakachoambulia ni takataka tu.
 
Hizo sarakasi umeziona wapi na wapi? Haya Ni maneno ya kutunga tu!
 
Acha wang'atane hata watoane masikio,kwani Ile dhambi ya kuharibu chaguzi za 2019/2020 bado inawatafuna🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…