The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Peace be upon you all,
Najua hapa kuna waliozitumia hizi motion sensors za tronic, nataka kujua kutokana na uzoefu wenu je ni water proof ?
Maana nataka kuzifunga kuzunguka uzio ila nahofia zitaharibika kwa mvua, kwa mliozitumia uzoefu wenu unalipi la kuzichambua.
(Wale wajuaji wa "nenda kasome maelezf yake" au wale wa "nenda kagoogle" hey shut the fu*ck up, maelezo ya kwenye manual hayajazungumzia kipengele hicho so chill your a*ss off)