PreGE2025 Je, Hoja ya No Reforms no Election ikipuuzwa, inaweza kuibua upya madai ya Tanganyika?

PreGE2025 Je, Hoja ya No Reforms no Election ikipuuzwa, inaweza kuibua upya madai ya Tanganyika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Hellow!

Kuna mfumo usioonekana unazidi kuleta mtikisiko mkubwa unaoibua hisia za mabadiliko ya kimfumo mwaka huu,

Narudia kusema, CCM imekosea sana kutaka kufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa ni uchaguzi wa ngwe ya pili ilhali huu ni uchaguzi mpya, ilani ni mpya. Uchaguzi ni mpya, na mambo hayo yanashinikiza mabadiliko kimfumo kupata wagombea wapya pia.

Ukiangalia kwa makini ,hili kundi la G.55 limepewa jina kimkakati, ni Kurudisha mawazo ya wananchi kuhusu kudai Tanganyika yao.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Narudia kusema, CCM ni chama kikubwa, kina mbinu, raslimali, mikakati ya kutosha kushinda uchaguzi hata baada ya kufanya Reforms kwenye Katiba Ili kupata tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi wowote.

Mungu ibariki Tanganyika,


Karibuni 🙏
 
Back
Top Bottom