Je Housegirl naye?

Je Housegirl naye?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako!

Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo ni hybrd..............Lakini cha ajabu mke eti hataki nimtume kunichemshia maji wala kumtuma kazi zinazofanana na hizo ukizingatia mimi narudi usiku kutizama worldcup!hataki yeye afungue mlango na baya zaidi yeye nimtumishi akienda kazi za usiku basi lazima huyo wife hatafanya mipango mapema kuwapeleka watoto kwa mama mkwe au kwetu kwakisingizio bibiyao kawaita nahousegirl naye anaondoka!!!!Hivyo nakuwa napata tabu sina wakumtuma Hapo inanibidi nipakuwe mwenyewe vitu kama hivyo!!!Namimi ninalipa mshahara!!!
:behindsofa:

kupakua napo ni ishu kama kimeshaandaliwa?..mbona wengine wanapika kabisa! cjui kwanini ctakagi housegal coz ya vijimambo kama hivi, wee unataka abaki hapo wafanye nini kama kla kitu kipo shwari? mkeo anakujua ndio mana anawapa transfer hao c bure.
 
Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako!

Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo ni hybrd..............Lakini cha ajabu mke eti hataki nimtume kunichemshia maji wala kumtuma kazi zinazofanana na hizo ukizingatia mimi narudi usiku kutizama worldcup!hataki yeye afungue mlango na baya zaidi yeye nimtumishi akienda kazi za usiku basi lazima huyo wife hatafanya mipango mapema kuwapeleka watoto kwa mama mkwe au kwetu kwakisingizio bibiyao kawaita nahousegirl naye anaondoka!!!!Hivyo nakuwa napata tabu sina wakumtuma Hapo inanibidi nipakuwe mwenyewe vitu kama hivyo!!!Namimi ninalipa mshahara!!!
:behindsofa:

cjui ni uvivu wa kusoma lakini sijakuelewa sana! shida ni nini? kama mama anakataa usimtumie housegirl inabidi zile kazi ambazo ungependa kufanyiwa na hg afanye mama. na inaelekea jinsi ulivyomsifia huyo hgirl, lazima mama awe na wsiwasi nawewe
 
Kama unajua kusoma katikati ya mistari, swali hapa ni KWANINI MAMA ANAMKATAZA?
 
Mwandishi ni BAZAZI mzoefu na inaonesha amekwisha wafukuzisha mahasigeli kibao hivyomama ameamua kula naye sahani moja.
Nina hausi geli bomba kinoma ila nina mtreat kama binti yangu anayehitaji ulinzi wangu ili atufanyie kazi vizuri na kwa kujituma.

Nashauri mllamikaji asiendelee kulalamika bali achukue jukumu hata la kujisafishia sahani yake baada ya kula GADEM
 
Kama unajua kusoma katikati ya mistari, swali hapa ni KWANINI MAMA ANAMKATAZA?

angetoa maelezo yote ingekua rahisi kujua, kwa jinsi alivyomchambua huyo dada yani ni halfcast vile wa kiiraqy lazima mama asimruhusu yaweza kuleta infidelity hapo.
 
mama anaona hiyo kazi anastahili kuifanya yeye na sio hg...
Ataifanyaje wakati yuko kazini?

angetoa maelezo yote ingekua rahisi kujua, kwa jinsi alivyomchambua huyo dada yani ni halfcast vile wa kiiraqy lazima mama asimruhusu yaweza kuleta infidelity hapo.
Ahaa kwahiyo angekuwa mnyakyusa/mhaya/msukuma ingekuwa poa...Infidelity ruksa!!
 
Kama unajua kusoma katikati ya mistari, swali hapa ni KWANINI MAMA ANAMKATAZA?

alafu aspirin kuna kazi anastahili kufanya hgirl, eti kumwekea mr maji bafuni no kama bafu nile za uswahilini sawa nikiwa sipo ayaweke lakini kwa hapa kwangu hali hairuhusu kupeleka maji bafuni na kupakua chakuala kikiandaliwa kinawekwa mezani baba tasave mwenyewe na nikiwepo ni mm nitamsaidia maana najua anapenda hivyo.
 
Ataifanyaje wakati yuko kazini?

Ahaa kwahiyo angekuwa mnyakyusa/mhaya/msukuma ingekuwa poa...Infidelity ruksa!!

hivi unawajua wakoje? yani ni kama alitaka kusema msichana anausoft wa asilia nywele ndefu zisizohitaji dawa, yani hapa katuzuga tu. sasa lakini we aspirin we kwann uanze kumsifia hgirl si nae ataanza kukuchekea na mwisho we nn? na how come niko kazini baba hom?
 
alafu aspirin kuna kazi anastahili kufanya hgirl, eti kumwekea mr maji bafuni no kama bafu nile za uswahilini sawa nikiwa sipo ayaweke lakini kwa hapa kwangu hali hairuhusu kupeleka maji bafuni na kupakua chakuala kikiandaliwa kinawekwa mezani baba tasave mwenyewe na nikiwepo ni mm nitamsaidia maana najua anapenda hivyo.
Hivi akiniwekea maji bafuni kuna ubaya gani?

Unaweza kuwa unafanya kazi za shifti. Sasa umeingia night nami nataka kuoga. Housegirl akiniwekea maji bafuni ishakuwa nongwa?
 
hIZO NI KAZI ZA MKEO JAMANI MIMI NA UKUBWA WANGU CJAWAHI KUMUWEKEA BABA MAJI ANAWEKA MAMA NA KILA KITU CHA BABA ANAFANYA MAMA KAMA HAYUPO KWA MAANA YA KUSAFIRI NDO TUNAFANYA SIE ILA HOUSGAL HAUSIKI SEMA aSPRIN UNAPENDA SANA KUDUMISHA MILA NDO MANA UNATETEA
 
wewe umekatika mikono? jamani hata kuweka maji bafuni inakuwa tabu! huyo mama kafanya vizuri kuwa transfer hao mana baba analalamikia mbinu zake kuzimwa...hakuna lolote.
 
Mtoa mada inaonekana siyo mwaminifu ndo maana anampa mke wake kazi ya ziada mi namshauri amuombe mkewe msamaha na aache kabisa hiyo tabia
 
alafu aspirin kuna kazi anastahili kufanya hgirl, eti kumwekea mr maji bafuni no kama bafu nile za uswahilini sawa nikiwa sipo ayaweke lakini kwa hapa kwangu hali hairuhusu kupeleka maji bafuni na kupakua chakuala kikiandaliwa kinawekwa mezani baba tasave mwenyewe na nikiwepo ni mm nitamsaidia maana najua anapenda hivyo.

wakiwekewa maji bafuni na hg watalalamika mwanamke anamuachia hg kila kitu ndio mana ikawa ya kuwa, cjui nikamtamani, shetani akanipitia, wakiwekewa wanaona wanabaniwa....hanawa jema hawa binadamu.
 
hIZO NI KAZI ZA MKEO JAMANI MIMI NA UKUBWA WANGU CJAWAHI KUMUWEKEA BABA MAJI ANAWEKA MAMA NA KILA KITU CHA BABA ANAFANYA MAMA KAMA HAYUPO KWA MAANA YA KUSAFIRI NDO TUNAFANYA SIE ILA HOUSGAL HAUSIKI SEMA aSPRIN UNAPENDA SANA KUDUMISHA MILA NDO MANA UNATETEA
Hapo ndipo tunashindwa kuelewana. Kama wewe unaweza kumuwekea baba yako maji bafuni wakati mama hayupo. Kuna ubaya gani housegirl akifanya hivyo? Au ulivyomuwekea baba yako maji bafuni ulipata ujauzito?
 
Abiria chunga mzigo wako inaonekana huaminiki wewe..
Kwa hapo ulipoanza sijui ni mu- Iraqy sijui mbarabeidi una lako jambo(sentesi yako inavuta hisia)
 
Back
Top Bottom