Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako!
Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo ni hybrd..............Lakini cha ajabu mke eti hataki nimtume kunichemshia maji wala kumtuma kazi zinazofanana na hizo ukizingatia mimi narudi usiku kutizama worldcup!hataki yeye afungue mlango na baya zaidi yeye nimtumishi akienda kazi za usiku basi lazima huyo wife hatafanya mipango mapema kuwapeleka watoto kwa mama mkwe au kwetu kwakisingizio bibiyao kawaita nahousegirl naye anaondoka!!!!Hivyo nakuwa napata tabu sina wakumtuma Hapo inanibidi nipakuwe mwenyewe vitu kama hivyo!!!Namimi ninalipa mshahara!!!
:behindsofa: