Alianza mwanamuziki mtoto wa Dandu alikuwa nchi za Scandnavia miaka nenda miaka rudi,aliporudi Bongo tu akala bata kidogo na warembo,wakamuonea wivu wakamtengenezea ajari
Wapo wabongo wengi hawataki kurudi Bongo sasa sijui what is a problem,walipokanyaga ardhi tu za Ulaya na Marekani ndio ikawa adiosi mama Jane bye bye,maana kama uchumi mnao kama mnavyojieleza TBC
Labda mtueleze kwanini mmeganda huko?au Bongo kuna Ulozi maana Bongo nayo mmmh!aijuae ni wao wenyewe wabongo na Mungu pekee.
Instagram:kaukwaju