Je, huenda kusiwe na muendelezo tena wa games za call of duty modern warfare?

Troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,834
Reaction score
40,641
Hello gamers?

Bado sijacheza game jipya la call of duty modern warfare 4.
Ndio nalishusha kwasasa.
Bt kwa nilivyopita pita youtube kiukweli lina mwisho mbaya kihisia. Kwani ndio mwisho rasmi wa kikosi cha task force 141.
Baada ya kufa kwa Soap, kwenye mw3...
Gaz na Price pia ndio mwisho wao kwenye mw4.
So aliyebaki ni Ghost pekee.
Labda kama kutakuja kua na reboot tena kama walivyofanya hizi. Au ije kwa story mpya itayomuhusu Ghost pekee.
Kitu kizuri zaidi kama ni mchezaji mpya wa hizi games unaweza kucheza zote kuanzia ile ya 2019 hadi hii iliyotoka mwaka huu maana zote zishakua cracked.

Screenshot_2026-10-22-13-47-31-949_com.android.chrome.jpg

Mw4 limekuja kitofauti habari za Farah na nchi ya kufikirika ya urzkstan ziliishia kwemye mw3 kwasasa story na vita vimehamia nchi za korea kusini na kaskazini.

Ikumbukwe mw3 mwishoni kabisa iliisha kwa Captain Price kumuua kamanda Shepherd kama kulipa kisasi kwa kifo cha Soap.
Mw4 inahusu Price kutafutwa na watu wa kikosi chake mwenyewe cha task force 141. Ikiwa pia bado Price mwenyewe akimsaka Vladimir makrov. Hapo sasa anakutana na Adui mwingine The Archer baba wa makrov na ni kiongozi wa Russia.
 
Kasome matrix na jiulize kwa nini kuna deja vu.Wanafikishiwa ujumbe au dunia.

Kuna call of duty moja black ops inasema democracy ni kichaka cha watawala walio watawala ndani ya utawala.
 
Call of duty latests bado sijazicheza ila kufa kwa Soap sidhani kama ina maana yamkini huko mbele asitokee tena.

1. Modern Warfare 3 ile ya kwanza kabisa nadhani ilitoka 2011-13 inaonesha Soap alikufa akiwa ktk mission pamoja na Mzee Price.

2. Baada ya hapo tukaja kumuona tena Soap akiendeleza gurudumu ktk versions zingine za Modern Warfare, kuna ile Modern Warfare II ya moto saana ambapo Ghost na Gaz kama sikosei wanakufa kwa kuchomwa moto na General Shepherd, ila games za baadae za Modern Warfare tukawaona wamerudi mzigoni.

Mimi hapa navuta pumzi kidogo ili mwakani ninunue Gaming PC, nanunua kwa ajili ya kucheza sana Call of Duty Modern Warfare na Black Ops, Black Ops II na Modern Warfare II na III ndio games zangu kali zaidi kuwahi kucheza hasa ile Black Ops II, Alex Mason na Frank Woods ni main charachers wangu. MZUNGU AKILI MINGI SAAAAANA.

Ukiachana na COD, mimi mpenzi wa Mpira mkubwa sana, so nikishanunua na nikachukua Likizo nitaenjoy sana
 
Umemsahau Alder. Moja ya game kali kabisa kwenye series ya black ops. Ni cold war. Niliikubali sana. Ninalo black ops 6 linafunguka bahati mbaya linacrash.
Series za modern warfare walizifanyia reboot walibadilisha kidogo story. Mfumo wa kutengeneza games kwa sasa unatumia waigizaji watu halisi.

Modern warfare 4 lina sehemu nyingi za kusikitisha kama una moyo mwepesi unaweza usitamani kulicheza.
 
ile yenye Mother na Rabit misheni za kufukuzana na mwarabu kwenye mauchochoroya maghorofa ni ya mwaka gani ?
 
Call of duty latests bado sijazicheza ila kufa kwa Soap sidhani kama ina maana yamkini huko mbele asitokee tena.

1. Modern Warfare 3 ile ya kwanza kabisa nadhani ilitoka 2011-13 inaonesha Soap alikufa akiwa ktk mission pamoja na Mzee Price.

2. Baada ya hapo tukaja kumuona tena Soap akiendeleza gurudumu ktk versions zingine za Modern Warfare, kuna ile Modern Warfare II ya moto saana ambapo Ghost na Gaz kama sikosei wanakufa kwa kuchomwa moto na General Shepherd, ila games za baadae za Modern Warfare tukawaona wamerudi mzigoni.

Mimi hapa navuta pumzi kidogo ili mwakani ninunue Gaming PC, nanunua kwa ajili ya kucheza sana Call of Duty Modern Warfare na Black Ops, Black Ops II na Modern Warfare II na III ndio games zangu kali zaidi kuwahi kucheza hasa ile Black Ops II, Alex Mason na Frank Woods ni main charachers wangu. MZUNGU AKILI MINGI SAAAAANA.

Ukiachana na COD, mimi mpenzi wa Mpira mkubwa sana, so nikishanunua na nikachukua Likizo nitaenjoy sana
Nilikuwa naplan kununua PS, ila nimeona Gaming PC kama ni bora zaidi maana ina magames mengi kwa urahisi. Ninapoona mawazo kama yako nafikiri nitakuwa nipp sahihi. Ingawa naonaga Chief-Mkwawa huwa anaelezea kama kutengeneza pc gaming ni gharama nafuu kuliko kununua mpya iliyo complete.
 
Kuna gaming pc unaweza ukaweka gpu isiyo ya gharama sana na ikakupa perfomance nzuri ya games za kisasa hata kwa 720p badala 1080p na 4k.

Consoles za game kama PSG ni plug and play, ina raha yake pia ila mimi bado napendekeza PC kuliko PS/XBOX sababu PC inakupa wigo mpana zaidi wa Games, baadhi ya games kama hizo Call of Duty, ukitumia PC inakuwa tamu zaidi kwa kuaim na Mouse ya PC kuliko gaming pad.

Mimi room nimeunganisha laptop na TV kupitia HDMI cable, so nikifungua game naplay kwa TV.

Gaming PC ukiwa na unlimited internet utaenjoy kila aina ya game.
 
Nilikuwa naplan kununua PS, ila nimeona Gaming PC kama ni bora zaidi maana ina magames mengi kwa urahisi. Ninapoona mawazo kama yako nafikiri nitakuwa nipp sahihi. Ingawa naonaga Chief-Mkwawa huwa anaelezea kama kutengeneza pc gaming ni gharama nafuu kuliko kununua mpya iliyo complete.
Ukinunua ps unajiweka kwenye kifungo mwenyewe. Maana utalazimika kutumia gharama kubwa kununua tena games na kuzidownload au kuweka cd.

Ukiwa na gaming pc unapiga kote ukitaka za kununua unanunua na ukitaka za kuchakachukua pia unacheza. Mfano mimi game pakee huwa nanunua ni FC game la mpira. Lakini mengine yote huwa na download cracked.

Pia ukiwa na gaming pc maana yake tayari una powerful pc ambayo inaweza karibu kazi zote.
 
Hello gamers?

Bado sijacheza game jipya la call of duty modern warfare 4.
Ndio nalishusha kwasasa.
Bt kwa nilivyopita pita youtube kiukweli lina mwisho mbaya kihisia. Kwani ndio mwisho rasmi wa kikosi cha task force 141.
Baada ya kufa kwa Soap, kwenye mw3...
Gaz na Price pia ndio mwisho wao kwenye mw4.
So aliyebaki ni Ghost pekee.
Labda kama kutakuja kua na reboot tena kama walivyofanya hizi. Au ije kwa story mpya itayomuhusu Ghost pekee.
Kitu kizuri zaidi kama ni mchezaji mpya wa hizi games unaweza kucheza zote kuanzia ile ya 2019 hadi hii iliyotoka mwaka huu maana zote zishakua cracked.

View attachment 3698575
Mw4 limekuja kitofauti habari za Farah na nchi ya kufikirika ya urzkstan ziliishia kwemye mw3 kwasasa story na vita vimehamia nchi za korea kusini na kaskazini.

Ikumbukwe mw3 mwishoni kabisa iliisha kwa Captain Price kumuua kamanda Shepherd kama kulipa kisasi kwa kifo cha Soap.
Mw4 inahusu Price kutafutwa na watu wa kikosi chake mwenyewe cha task force 141. Ikiwa pia bado Price mwenyewe akimsaka Vladimir makrov. Hapo sasa anakutana na Adui mwingine The Archer baba wa makrov na ni kiongozi wa Russia.
Enzi niko chuo nilikuwa mchezaji mzuri na miaka ya mwanzo wakati nimemaliza. Siki hizi si mpenzi wa games ila ilitokea nacheza game napenda games simple zile kama golf.
Ila hawa waliotengeneza COD wanajua sana yani
 
Ni majukumu mkuu hata mimi nakaa muda mwingi sana sijacheza, mambo mengi. Yaani hata mara nyingi nikaa tu sebuleni usingizi huwa hauko mbali.😀

Mara chache chache sana napata muda.
 
Ukinunua ps unajiweka kwenye kifungo mwenyewe. Maana utalazimika kutumia gharama kubwa kununua tena games na kuzidownload au kuweka cd.

Ukiwa na gaming pc unapiga kote ukitaka za kununua unanunua na ukitaka za kuchakachukua pia unacheza. Mfano mimi game pakee huwa nanunua ni FC game la mpira. Lakini mengine yote huwa na download cracked.

Pia ukiwa na gaming pc maana yake tayari una powerful pc ambayo inaweza karibu kazi zote.
Nimekusoma mkuu, tutapeana shule hapa kuhusu gaming pc, prices, specifications nk
 
Nilikuwa naplan kununua PS, ila nimeona Gaming PC kama ni bora zaidi maana ina magames mengi kwa urahisi. Ninapoona mawazo kama yako nafikiri nitakuwa nipp sahihi. Ingawa naonaga Chief-Mkwawa huwa anaelezea kama kutengeneza pc gaming ni gharama nafuu kuliko kununua mpya iliyo complete.
Kwa siku hizi ambavyo gpu zimepanda na AI imerahisisha maisha ya developers kama upo tayari Ku tweak ps5 sio mbaya,

-unaweza badili os ukaweka Linux ukacheza games kama zote za PC
-unaweza Ku hack na kupata games zote bure.

Pc ambayo ni equivalent ya ps5 itakucost hela ndefu.

Ila kama upo tayari Ku compromise na kutumia gpu za kizamani unaweza pata gaming pc kwa bei rahisi Sana, ukitumia Nvidia Gtx series na Amd za zamani kama RX 580.
 
Akitafuta machime nzuri na rtx 2060 hivi kuna tatizo?

Kwa budget ya mil 1.5+ hatoboi..? kuna mashine nyingi za ryzen bongo kwa sasa.
 
Anatoboa, naongelea tu value ya PS vs PC, PS unapata chini ya 1M na ni equivalent ya Ryzen 7 3700 na rtx 2070, ngumu kupata PC yenye hio hardware kwa hizi bei za AI.

Workstation zimejaa kibao mtaani, PC sio issue ila hio gpu sasa kupata kwa reasonable price ndio kazi.
 
Pc kiukweli kwa sasa sio ishu sana. Gpu zimekua mkasi sana.
 
Back
Top Bottom