Je hujaolewa

Je hujaolewa

sokoloso

Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
18
Reaction score
2
Niko dar nina miaka 38 nimeajiriwa ninahitaji mke wa kuoa awe na kazi au mfanyabiashara awe mrefu mengine hayana nafasi
 
Mmh, nimekuPM
Jibu haraka wakati bado nachemka.
 
Mimi ni mrefu saaana.. Unataka warefu nawe ni mrefu? Maana nami sitaki wafupi..!
 
Back
Top Bottom