Je, hukumu ya Sabaya ina mtazamo gani juu ya kesi ya Mbowe?

Je, hukumu ya Sabaya ina mtazamo gani juu ya kesi ya Mbowe?

Wakuu kuhusu kilichotokea huko kwa kwa sabaya ni kama mlivosikia,swali ni je hukumu hiyo imetolewa kama kuwafumba macho watanzania ili itakapo tolewa (mvua) hukumu kwa mbowe ionekane kwamba imetenda haki??
Kwa hukumu hyo ya sabaya inaleta taswira gan kwa hukumu ijayo ya mbowe?
Mtoto wa halali akihukumiwa kifungo yule wa haramu aanze tu kuomboleza!
 
Back
Top Bottom