Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hiyo 'bandia' ni danganya toto tu. Hao watu ndio wataalam wa contrabands kwa kisingizio cha misafara na namba za taasisi za umma.Lakini habari inasema ni STL bandia ambayo mtu yeyote mwenye V8 na nia ovu even asiye mtanzania angeweza kuweka such fake numbers.
Yes mkuu hii ni human trafficking na nchi yetu ipo captured na cartels hawa,elewa sheria za ukimbizi ni kukimbilia the next safe place,hawa wametoka Ethiopia na wameshairuka kenya (safe country)sasa Tanzania walifuata nini?Jamaa kaacha v8 katoka baru.
Hao waethiopia ni wenzetu tu.
Wangepewa ada ya crossborder tu wapite waende wanakoenda.
Hawakai bongo hao.
Wanafata Unicef South badae hata South hawakai ila wanaomba ukimbizi Europa, Canada, US, UK.
Bongo wanapita tu
Ni V8 tatu lingine lilikamatwa Iringa huko likiwa na STL hivyo hivyo….na mpka imefikia kukamatwa ujue wameshapiga saana hizo mishe na mpaka wanakuja kukamatwa lazima hawakuelewana vizuri na polisi….Kama sio Vigogo , basi wake zao , kama Si wake zao basi ni Chawa, kama Si Chawa basi ni CCM
haiwezekan ndan ya mwez, V8 2 zikamatwe , Moja ikiwa na bendera ya CCM ,Leo hii ni STL.
Siamin kama CCM imefikia hapa, nachoamin CCM imevamiwa na Majizi!!.
Nimalizie kwakusema, Wakati wa JPM hayakuwepo haya .
View attachment 2958379
Hawa ni watu, Vipi kuhusu Dawa za Kulevya??.
Na Bado tuna rundo la waandishi wa Habari, wao wanahangaikia kufatilia mambo mwepesi mepesi.
Pia, Soma: Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu
Nilimsikia Ofisa wa Uhamiaji Mkoa,kama sijakosea Manyara ,kwamba soon wataanza kuwakatia VISA,hivyo watalipia na kupita kuelekea huko,ili kupunguza hizi SARAKASI..kwangu mimi naona ni WAZO zuriJamaa kaacha v8 katoka baru.
Hao waethiopia ni wenzetu tu.
Wangepewa ada ya crossborder tu wapite waende wanakoenda.
Hawakai bongo hao.
Wanafata Unicef South badae hata South hawakai ila wanaomba ukimbizi Europa, Canada, US, UK.
Bongo wanapita tu
Wanazo hao,ndugu zao ndo wanawatumia ndo mana wanapanda hayo ma vi8 wakatoboe huko mbele.Nilimsikia Ofisa wa Uhamiaji Mkoa,kama sijakosea Manyara ,kwamba soon wataanza kuwakatia VISA,hivyo watalipia na kupita kuelekea huko,ili kupunguza hizi SARAKASI..kwangu mimi naona ni WAZO zuri
Cha kujiuliza tu, hivi huwa wana passport wale watu?..na je hiyo bei ya VISA wataimudu?
Rahisi tu hao walikua wanakunja lusaka, Zimbabwe,South.Yes mkuu hii ni human trafficking na nchi yetu ipo captured na cartels hawa,elewa sheria za ukimbizi ni kukimbilia the next safe place,hawa wametoka Ethiopia na wameshairuka kenya (safe country)sasa Tanzania walifuata nini?
Soma posti yake kwa umakini utamuelewa, sio unauliza majibu...Yes mkuu hii ni human trafficking na nchi yetu ipo captured na cartels hawa,elewa sheria za ukimbizi ni kukimbilia the next safe place,hawa wametoka Ethiopia na wameshairuka kenya (safe country)sasa Tanzania walifuata nini?
Kwa mabeberu sio kesho utawakuta Moscow!!Rahisi tu hao walikua wanakunja lusaka, Zimbabwe,South.
Kule wanajipiga,
Kesho utawakuta Canada,US na Ulaya wanalipiwa kila kitu hao.
Mkuu sio kwamba hayakuwepo, yalikuwepo sana tu ila hayakutangazwa tu!Kama sio Vigogo , basi wake zao , kama Si wake zao basi ni Chawa, kama Si Chawa basi ni CCM