Je, Husein na Seif watafanikiwa kuipapatuwa Zanzibar?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Naona sasa wale wa visiwani hawana habari kabisa na Tanzania Bara yao yao yetu yao, inakuwaje sasa hawazungumzii masuala ya Muungano na badala yake wamemuweka Mheshimiwa Magufuli kiti moto na kutoka na azimio hadi sasa halijajulikana, walimfuatia hukohuko Chato na kumuweka kati.

Kilichogusiwa kuwa mambo mazuri na wamekubaliana wamekubaliana nini? Najivunia Tanganyika yetu,nakuota Tanganyika yetu bado hatujakutupa Tanganyika yenu Mheshimiwa Magufuli hawa wasituchezee udugu uwepo lakini wasituzalilishe umefika wakati wa kila mtu na lake pasiwepo na kulaumiana maana tumechoka kiakili kulaumiwa na hawa jamaa kuwa matatizo yao yanasababishwa na Muungano.
 
Wewe nimiongoni mwa Watanganyika walioumwa navmshikamano wa wazanzibar mlitaka daima mutuuwe KILA siku ilibmuendelee kutuibia muda umewatuma mkono endelea kuimba tarabu wazee wanachapa Kazi kuondoa MAKOVU ZANZIBAR
 
Ni Tanganyika ipi unayoijua Mkuu?
Tanganyika inayosheherekea kitu kimoja tu hadi leo siku tuliyopata Uhuru ,kwani wewe unaishi wapi.
Dec. 9, 1961,tulimuondoa mzungu na sasa tunajitawala wenyewe kivyetu vyetu.ila wale wapemba naona kama wametuzidi kitu.wachawi sana wale.
 
Sawa Mkuu wasalimie
 
Mwinyi former Waziri wa Ulinzi aliyezaliwa na kukulia Bara hana uwezo wa kuikomboa Zanzibar.

Siku Rais akitoka visiwani na hakuwahi kufanya kazi bara labda kidoooogo watapata walau nguvu ya kulalamika kwa sauti
 
Naona sasa wale wa visiwani hawana habari kabisa na Tanzania Bara yao yao yetu yao, inakuwaje sasa hawazungumzii masuala ya Muungano na badala yake wamemuweka Mheshimiwa Magufuli kiti moto na kutoka na azimio hadi sasa halijajulikana, walimfuatia hukohuko Chato na kumuweka kati.

Kilichogusiwa kuwa mambo mazuri na wamekubaliana wamekubaliana nini? Najivunia Tanganyika yetu,nakuota Tanganyika yetu bado hatujakutupa Tanganyika yenu Mheshimiwa Magufuli hawa wasituchezee udugu uwepo lakini wasituzalilishe umefika wakati wa kila mtu na lake pasiwepo na kulaumiana maana tumechoka kiakili kulaumiwa na hawa jamaa kuwa matatizo yao yanasababishwa na Muungano.

Hujakosea, Jeshi lililo uwa na kuvuruga uchaguzi pemba ni la muungano
 
Back
Top Bottom