sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa.
Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana yakuwa Mzee Kibao kashushwa kwenye bus na watu wasio julikana, ila Sina hakika km alikuwa MIONGONI MWA waliojulishwa yakuwa ameuawa
Kwa utekwaji wa Abdu NONDO wa Act Wazarendo mtu wa kwanza kujulishwa alikuwa john Mnyika na yeye baada ya kujua hakukaa kimnya chapu aliingia mtandaoni na kupaza sauti.
Sauti za watekwaji zitakuja na hoja yakuwa Mnyika anaongoza genge la waharifu watekaji Tanzania hahahahahaha
Je mtego huu wa watekaji kutekwa na kumpigia simu Mnyika hautokuja kumtia hatiani?
Duru za SIASA zinatuonesha Mnyika 2025 hatoboi atakuwa jera.
Inasemekana yupo Mmoja mkubwa na ni mbunge atatekwa na kupotea na mtu wa kwanza kupewa hizo taarifa atakuwa Mnyika je Tanpol km kweli wanateka watu hatuoni kuwa wamefanikiwa kumnasa Mnyika?