Tetesi: Je, huu mtego wa Tanpol dhidi ya John Mnyika utafanikiwa? Bado Mmoja TU kwa tetesi Kijana wetu anase na 2025 utakuwa mwaka wake wa MWISHO kisiasa

Nimeota kuwa yale ya 17 March 2021 yatajirudia mapema mwakani. Hifadhini maneno haya.
 
Ingawa umeonesha chuki za wazi kww Mnyika.

Lakini taarifa yako imetoa codes nyingi za kufanyiakazi dhidi ya kikosi cha ugaidi kilichopo Polisi
 
Kwani huu utekaji kimazingira haionekani ni nani anafanya? Watekaji wengine walionekana wazi. Uliona wakikamatwa? Huoni hata Polisi hawana uwezo wa kuwakamata watekaji?
 


Kuna watu wanatembea kumbe ubongo wao ni mfu kabisa kabisa, Mungu wasaidie…!!
 
Ukweli wanaujua
 
Sana si ndiyo wao hao hao walioshangilia kio maana yake walihusika kumuua kwa ufupi ni wauaji
Walimshambulia pia Lisu kwa lisasi au nae alijishambulia, wakaondoa na CCTV Ili ushahidi usipatikane niwatu wabaya sana hao upinzani.
 
Nirudie maneno yako, ...... "Yupo mtu mmoja mkubwa na ni mbunge, atatekwa na kupotea"..... Kama vyombo vya usalama vina weledi hata kidogo, jiandae kuwa mshitakiwa wa kwanza kwa hayo mauwaji.
 

Wewe jifanye zimekuruka. Siku ukitekwa utapiga kelele na hakuna atakaye kusaidia. Unachekelea uhalifu kisa ni upinzani. Sawa.
 
mtu wa novena anaonewa na kusingiziwa 🐒
 
Sana si ndiyo wao hao hao walioshangilia kio maana yake walihusika kumuua kwa ufupi ni wauaji

Kwa hivyo walimuua mbele ya Mabeyo?. Maana ndio alikuwa naye mwishoni. Shida mnaropoka Sana.
 
Kama abdlul wa samia anataka kugombea jimboni kwa mnyika sawa, tofauti na hapo ni porojo tu
 
siyo uvccm saa100 na bashite tena
 
Akina myika mnatekana wenyewe kwa wenyewe, acheni uhuni
Wenzenu huku Mozambique moja hakai wala mbili haikai subiri tu itafika zamu yenu na nyie mtawalilia watoto zenu na baba zenu,hakuna anayeruhusiwa kutoa uhai wa mtu ni Mungu peke yake mnajifanya mmewakamata hata viongozi wa Dini wanatetea uharifu wenu lakini Mungu ni mkubwa ipo siku itailipia hii dhuruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…