Tetesi: Je, huu mtego wa Tanpol dhidi ya John Mnyika utafanikiwa? Bado Mmoja TU kwa tetesi Kijana wetu anase na 2025 utakuwa mwaka wake wa MWISHO kisiasa

Dua la kuku hahaha mtateseka sana
 
Wewe jasiri umefanya nini kuzuia haya yanayoendelea au ndiyo ukishakuwa Chawa unabwabwaja tu.
Si kila anae anae mfahamu john mnyika kwa ukaribu ni chawa. Learn kujibu hoja bila kuweka hisia
Kuna watu ni majasiri, kuna watu ni waoga, kuna watu ni wa kati, ndio dunia ilivyo

Suala la mimi nimefanya nini ni out of content, out of topic, and siwez jibu hapa
 
Alianza wakati wa magu Sasa amekuwa konkodi hahahahahaha
Kuonyesha kiwango cha juu cha upumbavu eti unacheka! Namkumbuka marehemu Dida alisema kicheko kama chizi aliyona jalala jipya
 
Na wapo viumbe humu humu wanashadadia kwanini mnyika kwanini mnyika ili kuandaa mazingira yao ya kishetani,pengine ipo haja ya kuwatambua sio tu kwa vificho vyao,ila nyendo,ushiriki wao katika uovu huu,majina,sura,kazi zao,na bosi zao wanao watuma.
 
..hoja kama hizi ni mbinu tu za kutetea waovu, na uovu wao.

..haya mambo yasipokomeshwa haraka iwezekanavyo, yataligharimu taifa mbele ya safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…