big soap
Senior Member
- Feb 22, 2020
- 197
- 270
Kwenye ubora wangu nikiwa kijana miaka 22 hivi nilishastrugle sana kwa bi dada fulani mwishoe nikaambulia patupu. Nikiwa na tahadhari baada ya kama mwaka na siku zake kadhaa nikapoint pengine. Ugonjwa ninaoumwa ni true love. Nahisi wakufunzi hawakunitendea haki kwa kutoniweka wazi mapema kuhusu love.
Ikatokea tu Agness akawa karibu sana na mimi, tulikuwa marafiki haswa mpaka ikapelekea hisia za mapenzi kuibuka kwangu.
"Agness wewe kweli ni rafiki yangu na duniani hamna kitu kibaya kibaya kuficha ukweli wa hisia, nimekuwa katika kipindi kigumu sana na nakuona wewe kama faraja kwangu. Siwezi kuzuia hili nakupenda sana, nakupenda sana" kwa upole wake akainua macho na kuniangalia akitikisa kichwa na kusema "hata kama usingesema hilo mimi nalijua tangu mapema ila nina sababu ambazo zimekuwa kikwazo za kushindwa kukuambia kuwa nakupenda and to day sipo sawa nipe time tutaongea ila wewe ni rafiki wa dhati moyoni mwangu. "
Agness hakuwa na umbo kubwa wa ana wembamba wa wastani mrefu kiasi na mwili uliobalance na rangi yake nyeupe sifa hizi zilipita kichwani kwangu true that i was so deep to her
Mark nikwambie tu siwezi kusema kuwa sikupendi siwezi sema kuwa hauko moyoni na siwezi sema kuwa sipati furaha na ukaribu wako. naona upekee wako, naona upendo wako, Mark mimi najua ila nikwambie tu najua wewe unajielewa sana tafakari hili. "nina mpenzi unamfahamu na rafiki yako wa karibu sana, najaribu moyo unashindwa kabisa, nachanganyikiwa kabisa lakini bado... nawaza kukaa mbali na wewe pia siwezi. Natamani niongee zaidi (kipindi hiki ananiangalia usoni analia ametoa lesso mi nimetumbua macho kama mpiga chabo banda la sinema akili na mwili ukifa ganzi... ) gafla ananikumbatia ananiambia hapana Mark 'siwezi' 'siwezi' mie
Kuna muda unaweza poteza fahamu akili ikiwa inafanya kazi yake tu. from nowhere nikamkumbatia hadharani kabisa.... nikahisi machozi yananitoka kwa hisia nikisma please no, please no, please no.
Baadae tukarudi kwenye hali ya kawaida kila mtu akikosa neno sahihi la kumwambia mwenzake nikamsindikiza adi stand akaenda nami kinyonge nikarejea home.
Sikua na amani the whole hata kitabu hakikupanda kabisa. niliona mashindano makubwa mbele yangu ya hoja, ushawishi ya kumfanya agness abadili mtazamo 100% na kuwa upande wangu.
Siku ya pili nikamwambia nina mazungumzo na wewe jioni baada ya vipindi jioni kweli uyu hapa. ata kuniangalia anapata wasiwasi. "nikaanza kufunguka_katika maisha kuna watu utawapenda sana naa wapo watakaokupenda pia. kiufupi mimi na wewe tusizungumze tena kuusu neno mapenzi kwa sababu tupo mwishoni na confusion hii itatuweka vibaya.... kama itaniuma, kama utajisikia vibaya tuache yapite tu haya kwa sababu kesho yetu hatuijui.
Basi nikajikaza kisabuni pale... "siku ukitaka huu ulafiki ufe kabisa basi kumbushia hii mada na majadiliano yamefungwa nazani upo sawa sasa"
Nyuma panzia kweli Agness alikuwa na boy wake (ima) na kweli ima alikuwa rafiki angu wa damu and posible urafiki wao ulianza mapema zaidi ya wa kwangu... still ni confusion sana sababu nilijua mi nimewai kutamka nakupenda na kuonesha hisia Zangu, sijui ya nyuma yangu.
Je, huu ni uanaume kumuachia mwenzio mpenzi kiroho safi au ndo ujinga wenyewe?
(the story not edited/ simulizi hii haijahaliliwa)