Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

Mshana Jr nadhani picha umeipata. Huyu ndugu ni pusha, waliomfuata inaonekana walimuambia wanamsanulia issue ya madawa hivyo akawa hana option zaidi ya kuwatii waliomtuma. Same kwa polisi na ponjoro, yaani hawana namna kwa sababu kuna mtu kawapa hela wahakikishe Kanisa halifunguliwi labda mpaka aje rais mwingine. Kwa ufupi ni rushwa ndiyo inafanya kazi
 
Ananja yupo sahihi mtu kama umeingia kilinge cha wachawi lazima ule nyama za watu. Sasa umeshakula umeshiba unakuja nje unatangaza kwa watu wa nje kua eti huko kilingeni wenzako wanakula nyama za watu, wakati mlikuwa mnakula wote.Lazima tu wenzako wata react huyu mwenzetu vipi. Ngoja tumtoe kwenye hili jukwaa letu l kama anataka kilinge cha wachawi awe huku kama anataka kilinge chake atoke humu.Siyo huku unanyonya na huku unanyonya.
 
Nimesoma na kijana wake anaitwa Ot Hananja alisoma UDSM mambo ya mziki ila huyu pastor ashawahi kuwa mchungaji wa kanisa au chaplain katika kanisa la shule moja niliyowahi kusoma wakanifukuza baada ya kukutwa nafanya ngono chapple .

Ila nachoweza kusema kuhusu mzee hananja ni kuwa sio tu anapenda sifa ila ni mtu aliyeathirika na njia alizopita kufikq hapa aidha nipende kusema sikawii kusema bado madawa aliyotumia hayajamuisha kichwani na mwilini ndiyo maana kila afanyacho anawaza kuchekesha ikiwa ni sehemu ya kupata huruma ya dunia au kupata ahueni ya watu kuwa kumbe nakubalika .

.

Kwa siku ile alizingua sana na alitema boko ijapokuwa sijawahi kuona kama kuna siku anatema nondo zaidi ya uharo tu .

Itoshe kuwakosoa wote wasemo kuwa Mungi anakupa wa kufanana naye kwa mkewe hajapewa wa kufanana naye zaidi yeye asili ya ya dunia imembeba kwa kumpa mtu mwenye akili na maono makubwa ambaye ni mkewe doctor Rose ila hawaendani kuanzia akili mpaka kila kitu .

Note :Simchukii Hananja Pst hata kidogo ila siukubali ujinga wake hata kidogo ,povu ruksa ,najua yupo hapa naomba anisamehe ni ya moyoni haya sio kwa kuidhinisha mimi kufukuzwa shule ila ni vile nimekuwa mkubwa naona mazuri na mabaya .

Ni mimi kiraka ,baba mchungaji
 
Hata kanisa lake lilitosa.
Alikuwa anakula fedha ya kanisa bila uwajibikaji.
 
MENEMENE TEKERI NA PERESI , kaka mkubwa nimekusoma vyema Sana for sure

Nilikuaga namfuatiliaga mzee HANANJA Ila toka siku Ile nilimweka BLACKLIST yangu sifuatili Wala kumsikiliza tenaa

Hakika wewe ni moja ya watu mlio cement hii thread nimepata vya jikoni kabisa kuhusu HANANJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…