Je, huu ni mgogoro wa kweli au maigizo ya kisiasa?

and 100 others

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2023
Posts
4,515
Reaction score
14,999
Inawezekana kabisa huu mgogoro wa huyu askofu vs Maza ikawa ni mbinu ya kuhamisha fikra za Watanzania kutoka kwenye fedheha ya kejeli za nje haswa 254 na EU , na kuwafanya washughulike na migogoro ya ndani yenye mvuto wa kisiasa na kihisia(diversion tactics)..

Mi nasema huu ni mgogoro uliotengenezwa makusudi kwa nia ya kuhamisha mjadala unaondelea kote dunini kuihusu Tanzania.

Hii inapelekea wananchi badala kujadili kwa kina kwanini vijana wa 254 wanawaona Watanzania au viongozi wao kama dhaifu na hawajitambui, ghafla taifa linaingia kwenye mjadala mkali wa ndani kati ya Maza na askofu jambo ambalo ni la ndani ya nyumba.

Vijana wa 254 kwenye mitandao hasa TikTok na X/Twitter wamekuwa wakionyesha kejeli, dharau au hata matusi dhidi ya viongozi na Watanzania hali ambayo inatia wasiwasi kitaifa...

Kwanini serikali haijaonekana kulijibu au kulipa uzito sana suala hilo la majirani kuitukana serikali ya Tz? jibu ni kwamba wanakwepa kulikuza zaidi..

Hii ni kufifisha mijadala inayoweza kuwachafua na kuweka agenda mpya kwenye midomo ya watu...

Historia inaonyesha chama tawala kimekuwa kikitumia mbinu ya kutengeneza au drama za ndani ili kufunika mijadala mikubwa ya kitaifa au kimataifa.

Hivi karibuni, vijana wa 254 wamekuwa wakitukana Watz na viongozi wao mitandaoni kwa dharau, kejeli, na hata matusi ya moja kwa moja. Lakini mjadala huu haupewi uzito serikalini wala kwenye vyombo rasmi. Lakini punde tu Bw Askofu alipozungumza kwenye press, tunaona bi mkubwa kajibu chap kwa haraka na hii inaleta maswali...

Chama tawala si chama kipya kwenye propaganda. Kimeishi madarakani zaidi ya miaka 60. Wanajua jinsi ya kugeuza mjadala wa kitaifa toka kwenye aibu ya kidiplomasia hadi kwenye mgogoro wa ndani wenye ushabiki mkubwa....

Mimi sidanganyiki naona huu ni mkakati rasmi wa kupoteza akili zetu kwenye maigizo, ilhali tunatukanwa, tunadhalilishwa, na kudharauliwa mitandaoni bila majibu ya wazi kama taifa.

Siruhusu maigizo ya kisiasa kutufanya tusahau mambo ya msingi yanayohusu heshima ya nchi na mustakabali wa vijana wenzangu.

Wapo watu wameandika, wameongea, na hata kutoa ripoti nzito lakini hawakupata hata jibu moja.
Kwanini sasa ameamua kumjibu askofu?

Je, askofu ni tishio la kweli au sehemu ya mpango?

Ripoti za wadau wa haki za binadamu kama Sarungi aliyeongea kwenye mkutano wa Oslo Freedom Forum (OFF), zimeonyesha wasiwasi kuhusu haki za kujieleza nchini Tanzania hasa kwa viongozi wa dini na wanaharakati.

Kwa kumjibu askofu badala ya kumdhibiti au kumuumiza, Maza anajenga picha mpya ya Rais anayekosolewa bila kulipiza kisasi. hivyo ni ujumbe kwa jamii ya kimataifa Tanzania haidhuru viongozi wa dini na kuna demokrasia ya kweli.

Kwa maana ni wazi kuwa majibu haya ya Maza kwa askofu yanaweza kutumika kama ushahidi wa uvumilivu wa kisiasa mbele ya macho ya mashirika ya kimataifa na wafadhili.

Kwa hiyo tunaweza kuona pande mbili:
-Ndani ya nchi, Wananchi wanashuhudia drama na wanahoji mantiki yake.
-Nje ya nchi, Dunia inaambiwa, Tanzania hakuna ukandamizaji.

Hoja bado inabaki...
Kwa nini wengine waliosikika kukosoa serikali waliishia kusumbuliwa, kutekwa au kunyamazishwa, lakini askofu anajibiwa kwa hadhara, kwa maneno tena na Maza mwenyewe..?

Tunaishi wakati mgumu wa kutafsiri siasa kwa macho ya kawaida. Wakati mwingine, kinachoonekana wazi ndicho kisichoeleweka zaidi.📌:BanHammer:

wataalamu wa geo-politics huitahii kama damage control diplomacy. Hii drama ni kafara ya kimkakati ili kuzuia Tanzania kuchafuliwa zaidi kimataifa.

Naona chama tawala kimeamua kutoa kafara hii ya mgogoro kati ya Maza na askofu kwa makusudi.
Sababu? 👉🏽 Tanzania ilikuwa inakaribia kuchafuka zaidi kimataifa...

Tuelewe kwamba ripoti za kukamatwa kwa wanaharakati, kutekwa kwa wakosoaji, na ukandamizaji wa viongozi wa dini zimesikika sana nje ya nchi. Taasisi kama @HRW, Amnesty na wengine wameshaanza kuitazama Tanzania kwa jicho la wasiwasi.

Kwa hiyo, badala ya kuruhusu lawama kubwa zielekezwe kwa vyombo vya dola, au kupoteza ushawishi wa kidiplomasia, chama tawala kimeamua kuanzisha mjadala mkali wa ndani ambao hauna athari kubwa kimataifa.

Nasema Hii ni kafara salama ya kusafisha jina la nchi na chama.....

Na ndio maana chama tawala kwa sasa kimefanikiwa kushinda akili za waTz.. kwa maana ...
Ukiangalia mitandao hasa X,na hata Jamiiforums kila mahali ni:

askofu atajibu nini?

Maza kajibu nini?

Ni nani alikwenda kanisani kwake leo?

Watu wanafuatilia kila tamko, kila video, kila sauti – kama vile ni sinema ya taifa.

👉🏽 Wakati huo huo, hoja ya vijana wa 254 waliotutukana, kudharau waTz, na kutusi viongozi imezimika kabisa.

Chama tawala kimegeuza fikra za wananchi kutoka kwenye masuala nyeti ya heshima ya taifa kimataifa, hadi kwenye mjadala wa mtu mmoja na Rais wake.

Huu ndio mchezo wa akili.

Na wamefanikiwa kwenye hilo ndio maana nikiri tu kwamba Siasa siyo tu kubishana , ni mchezo wa ushawishi wa kimataifa, mbinu za kisaikolojia kwa umma na mengine mengi..

Je, wewe unaonaje? Huu ni mgogoro halisi? Mbinu ya kuzuia aibu ya kimataifa? Au maigizo ya kisiasa yenye lengo la kushika akili za wananchi?
 
Kuhusu Gwajima, binafsi nimeanza kuwa na wazo kama hili lako nikiamini ilengo litakuwa ni kutengeneza mpinzani feki mwenye nguvu kisha aende kugombea kupitia chama kama CHAUMMA au kingine lengo likiwa no kuzigawa kura za wapinzani.

Hivyo, bado naendelea kuangalia mwenendo wa mambo kabla ya kufikia conclusion.

But all in all, hatua hii haimsaidii Mama kwa namna yoyote zaidi ya kumfanya aonekane hafai kabisa.

Kwahiyo, kama ni agizo, basi linamuharibia zaidi kuliko kumsaidia

SWALI LA MSINGI: KAMA ANATUMIKA, KWANINI CLIP ZAKE ZILIONDOLEWA MITANDAONI?

Tujipe muda.
 
Nimeshayasema haya kuwa Gwajima ni tapeli anatumika na TISS
 
Kuhusu Gwajima, binafsi nimeanza kuwa na wazo kama hili lako nikiamini ilengo litakuwa ni kutengeneza mpinzani feki mwenye nguvu kisha aende kugombea kupitia chama kama CHAUMMA au kingine lengo likiwa no kuzigawa kura za wapinzani.

Hivyo, bado naendelea kuangalia mwenendo wa mambo kabla ya kufikia conclusion.

But all in all, hatua hii haimsaidii Mama kwa namna yoyote zaidi ya kumfanya aonekane hafai kabisa.

Kwahiyo, kama ni agizo, basi linamuharibia zaidi kuliko kumsaidia

SWALI LA MSINGI: KAMA ANATUMIKA, KWANINI CLIP ZAKE ZILIONDOLEWA MITANDAONI?

Tujipe muda.
Hilo la clip kufutwa linaweza kuwa ni hatua ya taasisi au watu wa kati waliojiongeza tu bila kujua huu ni mpango wa juu. Mara nyingi maafisa huchukua maamuzi wakiamini wanalinda serikali, kumbe wanaharibu drama ya kisiasa inayopikwa juu. Mifumo yetu inaruhusu hilo litokee sana.

Kwa hiyo, huenda taasisi fulani waliona ni busara kufuta clip hizo wakidhani zina madhara kwa usalama au taswira ya nchi , kumbe hawakuwa na taarifa kwamba huu ni mchakato uliopangwa kwa malengo fulani ya kisiasa au kidiplomasia.
 
Ukishazielewa siasa za Tanzania, kuleta mageuzi utaelewa ugumu wa wafuasi wa CDM katika hiyo safari.
 
Back
Top Bottom