Je huu ni uchawi wa namna gani?

Uchawi wa Kimwakaleli, ila pia Kigoma Region Tanzania kuna uchawi, unameza dawa, ukipigwa panga hata likiwa limenolewa vipi, haliwezi kukukata
 
Picha
 
Wezi wanaotumia dawa za waganga Muwe mapiga kwenye vivuli vyao especially maeneo kichwani
 
acha porojo hizo wewe..hapa kuna watu wazima
peleka fb
Na brother angu mtoto washangazi kwenye ukoo....
Tulikua tunafanya usafi kwenye parking kwenye kunyanyua vitu tukaona nyoka mkubwa akamuuma mkononi..

Jamaa ni vempire anasema nyoka kwake Hana madhara na Wala hakudhulika...😊😊☺️☺️

NB:
Kigoma na Congo Kuna kitu kinaitwa KIDONO na KIKUNTI tembea uone mkuu usikifungie hapo kijijini kwenu then ukaona umemaliza maisha☺️☺️😊😊

Pia Kuna majani Fulani ukiliweka mfukoni unapita sehemu mbaya yeyote bila kudhuliwa na chochote ubaya wa Hilo Jani ukiliweka mfukoni linafunga bahati hata pesa iwe mbele yako huwezi iokota utaipita ila linasaidia sana watu wanao tembea misituni wasipate majanga..
 
Mang'anga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…