Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana, bado sijapiga sulfur ya poda, nilikuwa natumia ya maji yenye kiambata cha Hexaconazole 50, nitatafuta dawa hiyo mkuuLakini kama matunda yanaweka madoa meusi na kudondoka ,hapo yaweza ikawa blight au ni mbu( kwa lugha ya wakulima wa pwani) au tea mosquito!
Kama ni blight na unafanya conventional farming na pia kifedha unajiweza tafuta NATIVO