Habarini wakuu ..Bibi yangu anadai mikono yake na miguu inamuuma na imevimba anadai alienda hospitali na kupewa dawa za Arthritis na Rheumatic hakupona pia ametumia dawa za maumivu bila mafanikio .
Je wakuu naombeni nnishauri ni dawa gani anaweza tumia zikamsaidia.
Natanguliza shukrani