Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

el chappo

Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
19
Reaction score
2
Habari zenu wanajamii?

Mimi ni kijana mwenye miaka 27. Tatizo langu sijielewi afya yangu kwa sasa kutokana na sababu nitakazozieleza na ningeomba msaada wa kiushauri.

1. Sina hamu na kufanya mapenzi kabisa yani hapa nilipo nina zaidi ya mwaka mzima sijafanya mapenzi.

2. Nina unene ambao kwa nje hauonekani kuwa sana ila nikivua nguo nina manyama uzembe sana yani sana na inanifanya kuwa uncomfortable.

3. Nilienda kwa doctor mmoja private akanipa dawa zaidi ya nne kwa tatizo hormones zangu ziko chini kabisa ndo ndio sababu nalosa sex drive hizo dawa zilikuwa za gharama sana lakini sikuona ahueni.

NB: Sio kwa sababu nadindisha once in a while so nimekuwa njia panda kwa muda sasa. Ushauri wenu wanajamvi. Niliwahi kusoma sehemu kwamba upungufu wa hormones pia unaweza sababisha unene kama huu nlionao je ni kweli?

Je ni hospital gani ninaweza pata tiba ya tatizo langu?

Ushauri wowote ambao utanisaidia pia nitashkuru. Kama pia kuna mambo binafsi naweza yafanya kuepuka matibabu ya hospital ntashukuru pia.
 
el chappo

Unataka udindishe kila dakika?..kama huna demu inawezekana kukaa hata zaid ya mwaka bila ku sex. Kutakua na shida kama hata ukiwa na demu kitandani jogoo hasimami otherwise acha kujipa hofu huumwi!
 
Last edited by a moderator:
Unataka udindishe kila dakika?..kama huna demu inawezekana kukaa hata zaid ya mwaka bila ku sex. Kutakua na shida kama hata ukiwa na demu kitandani jogoo hasimami otherwise acha kujipa hofu huumwi!

kukosa ham ya kudocha mwaka mzima sio kawaida kwa mwanaume rijali aisee,,mm wiki tuu naiona ndefu,,mwache jamaa atafute ushauri lazma atakuwa na tatizo
 
Unataka udindishe kila dakika?..kama huna demu inawezekana kukaa hata zaid ya mwaka bila ku sex. Kutakua na shida kama hata ukiwa na demu kitandani jogoo hasimami otherwise acha kujipa hofu huumwi!

Asante kaka kwa kinipa moyo vp kuhusu vipimo vilivyoonyesha kweli hormones zangu ziko chini?
 
kukosa ham ya kudocha mwaka mzima sio kawaida kwa mwanaume rijali aisee,,mm wiki tuu naiona ndefu,,mwache jamaa atafute ushauri lazma atakuwa na tatizo

Msaada sasa kaka. tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Kapime uzito na urefu wako uone vinaendana?

Je huwa unaota ndoto za kufanya mapenzi usiku?

Unataka uwe unasimamisha kila siku hasa ile alfajiri. Hii ni automatic process
 
Kapime uzito na urefu wako uone vinaendana?

Je huwa unaota ndoto za kufanya mapenzi usiku?

Unataka uwe unasimamisha kila siku hasa ile alfajiri. Hii ni automatic process

Niko over weight japo sijafikia obesity.
Kuhusu ndoto huwa sizipati kabisa. Asante
 
Kapime uzito na urefu wako uone vinaendana?

Je huwa unaota ndoto za kufanya mapenzi usiku?

Unataka uwe unasimamisha kila siku hasa ile alfajiri. Hii ni automatic process

Bado sizipati ndoto za kufanya mapenzi
 
Amka asubuhi ukimbie hata dakika 40 jasho ikutoke. Ukimaliza wiki kwa mazoezi haya rudisha mrejesho wa halo yako hapa. Everything starts in mind.
 
el chappo

Upungufu wa hamu ya tendo la mapenzi unasababisha unene na kupiga punyeto je unapiga punyeto? una kilo ngapi? Unafanya Mazoezi? ninaomba majibu au unaweza pia kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Last edited by a moderator:
Upungufu wa hamu ya tendo la mapenzi unasababisha unene na kupiga punyeto je unapiga punyeto? una kilo ngapi? Unafanya Mazoezi? ninaomba majibu au unaweza pia kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano

Ndio napiga punyeto ila sishindwi kuacha. Nina kilo 108 urefu wangu ni 6.3 ft. Hapana sio mtu wa mazoezi Kaka. Thanks for your concern
 
kwanini unapiga punyeto?mchawi wa tatizo lako ni wewe mwenyewe acha kupiga punyeto punguza kula vyakula vya mafuta...balance diet fanya mazoezi kwa muda miaka 3 hakika utakuwa sawa
 
Fanya mazoezi sana mkuu hasa ya kupunguza mafuta...
Acha kula junk foods kabisa, pangilia mlo bora atleast kwa siku mara moja...
Usiache kula vyakula vya kushtua hormones zako kama karanga, mihogo mibichi...
 
Asante bro kwa ushauri. Naomba unisaidie list ya vyakula vinavyo stimulate male hormones naturally
 
Fanya Mazoezi ya kutosha, Punguza vyakula vya Mafuta, kama huna vidonda vya Tumbo tafuta vitunguu swaumu vinasaidia Sana kuamsha Libido (Nyege), ila Zinaa hairuhusiwi tambua hilo
 
Ndio napiga punyeto ila sishindwi kuacha. Nina kilo 108 urefu wangu ni 6.3 ft. Hapana sio mtu wa mazoezi Kaka. Thanks for your concern

Dah huoni aibu? Eti ndiyo napiga punyeto..... ndugu umejimaliza mwenyewe
 
Kilo 108 unasema haupo overweight??? Afu mshiriki wa nyeto sasa hzo hamu utazpata wapi wakati unajiridhisha mwenyewe?

1. Acha nyeto
2. Punguza uzito
Ukifanikiwa kutimiza yaliyo juu hapo na hamu hupati then
1. Tumia vyakula vya protein kwa wingi.
2. Tafuta girlfriend akuweke busy.
3. Angalia vipuche
2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…