Habari zenu wanajamii?
Mimi ni kijana mwenye miaka 27. Tatizo langu sijielewi afya yangu kwa sasa kutokana na sababu nitakazozieleza na ningeomba msaada wa kiushauri.
1. Sina hamu na kufanya mapenzi kabisa yani hapa nilipo nina zaidi ya mwaka mzima sijafanya mapenzi.
2. Nina unene ambao kwa nje hauonekani kuwa sana ila nikivua nguo nina manyama uzembe sana yani sana na inanifanya kuwa uncomfortable.
3. Nilienda kwa doctor mmoja private akanipa dawa zaidi ya nne kwa tatizo hormones zangu ziko chini kabisa ndo ndio sababu nalosa sex drive hizo dawa zilikuwa za gharama sana lakini sikuona ahueni.
NB: Sio kwa sababu nadindisha once in a while so nimekuwa njia panda kwa muda sasa. Ushauri wenu wanajamvi. Niliwahi kusoma sehemu kwamba upungufu wa hormones pia unaweza sababisha unene kama huu nlionao je ni kweli?
Je ni hospital gani ninaweza pata tiba ya tatizo langu?
Ushauri wowote ambao utanisaidia pia nitashkuru. Kama pia kuna mambo binafsi naweza yafanya kuepuka matibabu ya hospital ntashukuru pia.