Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?


Nashkuru nitafika hapo pia. Asante
 

Sure kabisa hii kitu mbaya mimi imenizuru sana.
 
el chappo

Unataka udindishe kila dakika?..kama huna demu inawezekana kukaa hata zaid ya mwaka bila ku sex. Kutakua na shida kama hata ukiwa na demu kitandani jogoo hasimami otherwise acha kujipa hofu huumwi!

leo nimecheka japo si jambo la kuchekesha
 
Ndio napiga punyeto ila sishindwi kuacha. Nina kilo 108 urefu wangu ni 6.3 ft. Hapana sio mtu wa mazoezi Kaka. Thanks for your concern
Mkuu el chappo Kwakitendo cha wewe kupiga Punyeto na huo unene ulikuwa nao ndio unakusababisha wewe uwe huna hamu ya kufanya Tendo la ndoa. Unatakiwa kiafya hapo upunguze kilo karibu 30 ndipo utakuwa na hamu ya kufanya mapenzi na nguvu zako za kiume zinaweza kurudi bila ya hivyo utamaliza Dawa Hospitali. Ukitaka dawa ya kupunguza unene tumbo kilo na Mafuta mwilini nitafute mimi Dawa ninayo ukinihitajimimi bonyeza hapa.DAWA YA KUPUNGUZA UNENE, MAFUTA, KILO NA TUMBO


 
Last edited by a moderator:
Kama kila uamkapo asubuhi au karib na kuamka unadindisha basi ujue u mzma wa afya.
As a man unaweza fanya mapenzi daily na hamu iwe vile vile (i've experienced that). Muhimu kula vizuri (mboga za majani kwa wingi), matunda na maji ya kutosha.

Nahisi tatzo lako sio serious kihivyo..acha woga. Diet ndio kila kitu. Endelea na uchunguzi.
 
kukosa ham ya kudocha mwaka mzima sio kawaida kwa mwanaume rijali aisee,,mm wiki tuu naiona ndefu,,mwache jamaa atafute ushauri lazma atakuwa na tatizo

Inategemeana kama unagegeda ndo kama unanoa kisu so kinakua kikali kila wakati kinataka kukata.ila kama hakikati mara kwa mara mpaka kinajisahau bana.
Mana waweza toka kukata hapohapo ukakutana na mtt titi hilo tena kikatoka kwenye ala kikataka kukata ila kama hukatikati mbona mpaka unajisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…