- Thread starter
- #41
Nina furaha kukujulisha kuwa huu uzi wako umeuanzisha wakati mzuri, kwa sasa tuna kituo cha tiba kipya ambacho kinatoa offer ya kupima afya bure kwa sasa.
Ninakushauri nenda kwenye hicho kituo na usiwaambie tatizo lako lolote wacha wafanye vipimo vyao vya afya na watagunduwa tatizo lipi linakusababishia hiyo hali uliyonayo.
Pitia hapa kwa maelezo zaidi: https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/868345-bure-fursa-ya-mwaka-pima-afya-yako-bure.html
Nashkuru nitafika hapo pia. Asante
