Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

Karanga na mbegumbegu.
Samaki hasa pweza
Matunda kama maparachichi
Vitunguu saumu
Chocolate
 
Karanga na mbegumbegu.
Samaki hasa pweza
Matunda kama maparachichi
Vitunguu saumu
Chocolate

huyo jamaa ameathirika na punyeto na hivyo vitu unavyomwambia haviwezi kumsaidia ata kidogo....yaani chocolate imsaidie? huyo jamaa ana safari ndefu ya kupona cz punyeto ina haribu mfumo mzima wa mwili nk.dawa za miti shamba ndio zitakazo msaidia lakini sio hizo chocolate....punyeto ina madhara makubwa sana tofauti mnavyofikiria
 
Ndugu jamaa zangu,
Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar
wala si mfanyabiashara wa madawa na
sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo.
Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa
manufaa ya watu wenye tatizo na uhitaji wa
hiki nitacho kieleza, almost FREE!!
Nilivokua chuo kuna room mate wangu mmoja
alitoswa na mabinti kama 5 hivi. Mm na
wenzangu hatukujua n kw nn jamaa alikua
akitoswa na kila binti.
siku moja yule jamaa alinifungukia kwamba
anatatizo la UUME WAKE KUWA MDOGO SANA
HATA UKISIMAMA na HANA NGUVU ZA KIUME.
yaan akianza tu kumchezea binti, akiingiza tu
bac anamwaga! Kwakweli nilimuonea huruma
na aliponionesha maumbile yake nlishangaa
kuona udogo ule.
Ndipo nlikumbuka kuwa kule ziwa nyasa
nlikokulia kwa mjomba, nliwahi ckia watu
wanasema kuna mzizi mmoja hiv watoto
hatutakiwi kula kwan tutakua na uume mkubwa
sana. Ilikua n miaka ya nyuma sana enzi hizo
nikiwa darasa la pili.
Kutokana na kuona tatizo la huyu jamaa
niliwaza kama ile mizizi bado itakuwepo? Na
kama ipo nitaendaje nikachimbe?
Mwez wa pili mwaka huu kulitoke a mcba kule
nyasa na nlilazimika kwenda kuwakilisha familia
kwan n mm tu ndo nlikua cpo shule. Nlivofika
kule nlikuta ile mizizi ipo japo kwa uchache
sana kwan milima mingi imepukutika. Kwa siri
nilichimba na kuweka kwenyebegi kiasi kdogo
cha ile mizizi. ckutaka kuonekana maana watu
wangenihic vbaya.
Wakati narud nlivofika Njombe nlimpigia jamaa
yule ambaye alikua mbeya na tukakutana
makambako ambapo nilimpa na kumwelekeza
matumizi kuwa atafune kila cku anavolala.
Huwezi amini kilichotokea. Baada ya siku kama
24 hv kupita jamaa alinipigia na kusema
ameona maajabu ya ile dawa kwan kle ki shaft
kimeongezeka kama inch 2 na nusu hiv, na
imejaa na inanguvu.
Nilimkataza kuendelea kutafuna maana hatuna
kipimo cha dawa ili isije ikazidi. nilimwambia
aache ili ile aliyotafuna iendelee kufanya kazi.
Lakini mpaka juzi nimekutana nae, yaan kanizidi
hata mm na anasema yuko fit kabisa na kanipa
elf 16 kunishukuru, na vile vimizizi bado
amebakinavyo vingine.
Sasa, nimeamua kusaidia watu wenyeshida
kama hizo for FREE kwan mizizi tumepewa na
Mola bure. Kama unatatizo la nguvu za kiume,
uume mdogo na mwembamba au shida
nyingine, Just ni PM nitakupa maelekezo.
Usihangaike kwa matapeli maana hata yule
jamaa alihangaika sana tu na kupoteza hela
nyingi bila kufanikiwa.
MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA
MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO,
TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA
KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI
NIENDE NIKACHIMBE.
PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA
KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA,
TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA
KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE
KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA
MKONO!
AHSANTENI
 
Ndio napiga punyeto ila sishindwi kuacha. Nina kilo 108 urefu wangu ni 6.3 ft. Hapana sio mtu wa mazoezi Kaka. Thanks for your concern

Acha kabisa punyeto mkuu hiii kitu ina madhara sana sanaaa. Me imenidhuru sana nikaanza kutafuta mchawi ni nani lkn nashukuru nimeacha.
 
Nimeshindwa kuacha kbs mimi

Mkuu jitahidi kuacha hii kitu aisee me nime fanya kwa miaka 6 ili kuwa ngumu kuacha lkn baada ya kuona madhara yake wala sitamani asikudanganye mtu ukipiga punyeto unajimaliza wewe mwenyewe.
 
Mkuu jitahidi kuacha hii kitu aisee me nime fanya kwa miaka 6 ili kuwa ngumu kuacha lkn baada ya kuona madhara yake wala sitamani asikudanganye mtu ukipiga punyeto unajimaliza wewe mwenyewe.

Habari mkuu, naweza kaa ata miez 8 nisipige ila nikikumbuka tu, namwacha wife kitandani naenda washa tv niangalie porn huku napiga punyeto, hapa nna miez 2 nimepumzika
 
Habari mkuu, naweza kaa ata miez 8 nisipige ila nikikumbuka tu, namwacha wife kitandani naenda washa tv niangalie porn huku napiga punyeto, hapa nna miez 2 nimepumzika

Mimi bila ya porn siwezi kupiga punyeto kabisa so hatua ya kwanza nakimbia porn kwanza kwa sababu bado nipo vitani.
 
Ndio napiga punyeto ila sishindwi kuacha. Nina kilo 108 urefu wangu ni 6.3 ft. Hapana sio mtu wa mazoezi Kaka. Thanks for your concern

kama unapiga punyeto, huwezi kusema
umekosa sexual drive, sema umehamishia interest yako kwenye nyeto badala ya wanawake. Unachotakiwa kufanya is just a mindset. Jing'atue kwenye hiyo punyeto na jenga mind yako kuwa mwanamke ndio suluhisho unapopatwa na hamu ya punyeto.
Precaution; UKIWMI UPO NA UNAUA chukua tahadhari
 
Nyeto noma sana,enzi hizo nikitumia hii kitu ilikuwa nikitumia ata mpaka wiki nzima ata asubuhi kitu haishtuki.

Sasa sipati picha kama ndio jamaa anapiga bandika bandua,sasa hiyo hamu itatoka wapi?
 
na Ndo maana siwaelewagi watu wanaotetea kuwa masturbation Ina faida.that thing ni pepo kabisa! first the addictive feeling it gives you, and the way everything in your life physically na aspects zingine zinavofall apart.dude ata ukipewa hormonez thy might not help you at all
 
Ndugu jamaa zangu,
Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar
wala si mfanyabiashara wa madawa na
sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo.
Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa
manufaa ya watu wenye tatizo na uhitaji wa
hiki nitacho kieleza, almost FREE!!
Nilivokua chuo kuna room mate wangu mmoja
alitoswa na mabinti kama 5 hivi. Mm na
wenzangu hatukujua n kw nn jamaa alikua
akitoswa na kila binti.
siku moja yule jamaa alinifungukia kwamba
anatatizo la UUME WAKE KUWA MDOGO SANA
HATA UKISIMAMA na HANA NGUVU ZA KIUME.
yaan akianza tu kumchezea binti, akiingiza tu
bac anamwaga! Kwakweli nilimuonea huruma
na aliponionesha maumbile yake nlishangaa
kuona udogo ule.
Ndipo nlikumbuka kuwa kule ziwa nyasa
nlikokulia kwa mjomba, nliwahi ckia watu
wanasema kuna mzizi mmoja hiv watoto
hatutakiwi kula kwan tutakua na uume mkubwa
sana. Ilikua n miaka ya nyuma sana enzi hizo
nikiwa darasa la pili.
Kutokana na kuona tatizo la huyu jamaa
niliwaza kama ile mizizi bado itakuwepo? Na
kama ipo nitaendaje nikachimbe?
Mwez wa pili mwaka huu kulitoke a mcba kule
nyasa na nlilazimika kwenda kuwakilisha familia
kwan n mm tu ndo nlikua cpo shule. Nlivofika
kule nlikuta ile mizizi ipo japo kwa uchache
sana kwan milima mingi imepukutika. Kwa siri
nilichimba na kuweka kwenyebegi kiasi kdogo
cha ile mizizi. ckutaka kuonekana maana watu
wangenihic vbaya.
Wakati narud nlivofika Njombe nlimpigia jamaa
yule ambaye alikua mbeya na tukakutana
makambako ambapo nilimpa na kumwelekeza
matumizi kuwa atafune kila cku anavolala.
Huwezi amini kilichotokea. Baada ya siku kama
24 hv kupita jamaa alinipigia na kusema
ameona maajabu ya ile dawa kwan kle ki shaft
kimeongezeka kama inch 2 na nusu hiv, na
imejaa na inanguvu.
Nilimkataza kuendelea kutafuna maana hatuna
kipimo cha dawa ili isije ikazidi. nilimwambia
aache ili ile aliyotafuna iendelee kufanya kazi.
Lakini mpaka juzi nimekutana nae, yaan kanizidi
hata mm na anasema yuko fit kabisa na kanipa
elf 16 kunishukuru, na vile vimizizi bado
amebakinavyo vingine.
Sasa, nimeamua kusaidia watu wenyeshida
kama hizo for FREE kwan mizizi tumepewa na
Mola bure. Kama unatatizo la nguvu za kiume,
uume mdogo na mwembamba au shida
nyingine, Just ni PM nitakupa maelekezo.
Usihangaike kwa matapeli maana hata yule
jamaa alihangaika sana tu na kupoteza hela
nyingi bila kufanikiwa.
MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA
MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO,
TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA
KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI
NIENDE NIKACHIMBE.
PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA
KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA,
TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA
KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE
KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA
MKONO!
AHSANTENI

Kama sio tapeli na kama hutafuti pesa kwa njia ya udanganyifu(kupitia nauli) kwanin usitaje jina la mti hapa au picha yake ili watu wachimbe wenyewe.Kuna watu wengi hapa ambao ukiwaonyesha hapa wataipata hiyo badala ya kukusumbua(kama kweli) wewe kwenda mpaka Manda eti ili ukachimbe.

Na hii itasaidia hiyo kampeni ya kuihifadhi(kama kweli unamanisha).
 
Relax. Punguza uzito. Badili fikra zako ongeza kujiamini unaweza. Na tafta demu wa kawaida test dhali
 
Nashkuru sana wana JF. Nimesimama punyeto kwa sasa na niko kwenye kupunguza uzito. Though am taking babysteps inshallah nitafanikiwa. Tuendelee kujengana. Vp mlioacha mkitueleza mafanikio yenu itatutia hamasa sisi tulio njiani
 
Back
Top Bottom