JE, HUU NI UUNGWANA: Mapenzi na Makofi


Kwenye purple bold, it is the WORD. Hongereni sana, the best thing kwenye relationship ni kubebeana mizigo aka kuvumiliana udhaifu. Ngoma ipo kwenye kudefine which kind of udhaifu unavumilika na which dont!

To some people kudundana kunavumilika, kwangu mimi ni next to impossibe
 
....kama hujawahi kukung'utwa utotoni ili "kushikishwa" adabu, huwezi jua yaliyomo
mioyoni na akilini mwa watu hawa....lol
 
Ndio ivo ukiona hayawezekani kuvumiliana basi ni kuambiana tu ukweli kabla hamjaanza kudundana na kudhalilishana!
 
@speaker,

Nadhani inategemea wameishi kwa muda gani pia, na inategemea uelewa wa wanandoa hao pia.

Inawezekana mkaishi pamoja, mkabariki ndoa baadae na mkashindwana. Umenikmbusha mtu mmoja waliishi miaka kama 5, wakabariki ndoa, lakini sasa hivi mme kama vile kaikimbia ndoa.

Ngoja kwanza nikakamue ng'ombe, ntarudi.
 

Dah,umenikumbusha mbali sana kuhusu kukamua ng'ombe aisee.
Afu nilikuwa mdogo kweli enzi hizo nakamua.
 

My dear.....waweza kuwa honest kwa mwenzako na yeye pia UKAMUONA yuko real!! But......how sure are you kwamba yuko real au ni imani tu?
 
Aah mie siwezi! Utotoni nipigwe hata ukubwani?? Nashikishwa adabu ama? Pole kwa wapigwao aisee.......
 

Mkuu elewa kuwa tasnia hii ya mapenzi na mahusiano hakunaga FORMULAR. wapo waliokutana leo wiki ijayo wakafunga ndoa na wakaishi kwa amani na pia wapo walichunguzana kwa miaka mpaka kumi, lakini wakaachana baada ya miaka michache ya ndoa (miaka ya uchumba ni mingi kuliko ya ndoa). Tatizo kubwa lililopo hapa ni tabia za asili walizo nazo wanaume na wanawake.
Kwa ufupi tu (maana somo lenyewe linahitaji nafasi) mwanaume yoyote duniani hata wewe mwenyewe (kama ni mwanaume) anachohitaji ni heshima ya utiifu kutoka kwa mke. Tatizo wanawake wengi huota "mapembe" baada ya ndoa ya huacha kuwatii waume zao na ugomvi unaanzia hapa.
na
mwanamke yoyote duniani hata wewe (kama wewe ni mwanamke) anachohitaji ni kupendwa na kuridhika kuwa kweli mumewe anamjali YEYE TU. Ikiwa mumewe atajali wengine ndani ugomvi, ikiwa mwanaume umepunguza upendo kwa mkeo kwa kupoteza muda mwingi kwa 'washikaji' ndani manung'uniko yanaanza.
KILA MMOJA ATIMIZE WAJIBU WAKE KWA MWINGINE; MWANAUME MPENDE NA MJALI MKEO, NA MWANAMKE MTII MUMEO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…