Je huu ni uungwana?

Je huu ni uungwana?

Lizzy si ndo maana ya foreplay bana? Mwanzoni mwanaume unashughulika kumwandaa mamsap na mwishoni anakusaidia kushusha mapigo ya moyo,au?

Kwani yeye hahusiki kwenye maandalizi???!Anza kumsafisha wewe ili aone raha yake na kutambua umuhimu wake uone kama nae hatoanza!!
 
mimi inanikera kuchokonoa pua kwa vidole halafu kumpa mtu mkono kumsalimia..ndiyo mana salamu yangu huwa sishikani mikono na watu!!
heheheheh! Nini kuchokonoa pua. Wengine wanapga punye..to. Dah! Hii mikono ndio maana hutakiwi kula bila kunawa.
 
Kwani yeye hahusiki kwenye maandalizi???!Anza kumsafisha wewe ili aone raha yake na kutambua umuhimu wake uone kama nae hatoanza!!
Lizzy,wewe ni mtu mzima,kuna kitu ningeongea kuhusu usafi wenu baada ya tendo lakini hapa sio pahala pake,lakini kwa kifupi si rahisi mwanaume kumsafisha mwanamke,and you know it,mtu mzima weye.
 
iyo point ya mwisho nimeipenda ila inaonyesha jinsi unavyopenda mfumo dume
 
Lizzy,wewe ni mtu mzima,kuna kitu ningeongea kuhusu usafi wenu lakini hapa sio pahala pake,lakini kwa kifupi si rahisi mwanaume kumsafisha mwanamke,and you know it,mtu mzima weye.
Msaidie hivyo hivyo...ugumu kitu gani bana!
 
Rose1980,Belindajacob,Merytina,Lizzy mnaona men to men tunavyoongea?

kuongea sio issue ..kinachomata UNAONGEA NINI...
KWAIYO MMEOngea nin?

kipofu+kipofu?
men +men=?

soma sign yako...yes ata pale napo ni ivo ivo wewe mfanyie mahaba na yeye lakin si kuweka chururu yako mbele utegemee yeye daily aisafishe wakat we tangu uzaliwe aujawai ata kumsugua mgongo ...ata pole afta KAZ aujawai toa....
 
Leonard Mambo Mbotela hivi bado yupo hai?

Enzi zile alikuwa na kipindi KBC kikiitwa "Je, Huu ni Uugwana?"
 
Ndugu zangu kuna vitabia flan flan vinakera,mwenye navyo aviache.Mfano:
1. Wenzio wanakula wewe unapenga kamasi
2. Mko internet cafe wewe unaongea na simu kwa lisauti likuuuuubwa,inakera jamani
3.Kujishaua,mara oh juzi nilivyokuwa Dubai,mara oh blackberry yangu bomba,kakuuliza nani?
4.Kutegea bill bar,raundi yako ikifika unakwenda chooni
5. Kuazima kitu cha mtu usirudishe
Last but most important kinamama ambao baada ya kuliwa mzigo unamwacha mzee akanawe mwenyewe bafuni badala ya kutenga mapema maji vuguvugu kwenye beseni na sabuni ili mkimaliza umsafishe mzee kwa mapenzi huku unamshukuru kwa kukupa mahanjam.

lugha chafu..kuliwa mzigo du

sasa km yeye ndo alikuwa anakula sa kuna aja gan niende nikmnawishe?
asi aende mwenyewe jaman..

lugha yako au nia yako ni kudhalilisha?
lile tendo linainvolve participation ya mke na mume sa kusema ..UNAMLA MZIGO ..as if ye alkaa tu km sahan si sahihi...

usiwe na dharau kiivo wewe wakat ukinyimwa unalia km mtoto wa paka
 
heheheheh! Nini kuchokonoa pua. Wengine wanapga punye..to. Dah! Hii mikono ndio maana hutakiwi kula bila kunawa.

ha ha...lakini hawapigi hizo punyz mbele za watu kama mtu anavyochokoa pua halafu anakusalimu muda huo huo...kweli usafi kitu muhimu sana!!
 
Last but most important kinamama ambao baada ya kuliwa mzigo unamwacha mzee akanawe mwenyewe bafuni badala ya kutenga mapema maji vuguvugu kwenye beseni na sabuni ili mkimaliza umsafishe mzee kwa mapenzi huku unamshukuru kwa kukupa mahanjam.

Kuliwa mzigo ina-sound kikatili vile!

BTW : Unatakiwa kunawa kwa MAJI YA BARIDI baada ya kula mzigo na siyo moto au vugu vugu - Huo ni ushauri wa Wataalamu
 
Last but most important kinamama ambao baada ya kuliwa mzigo unamwacha mzee akanawe mwenyewe bafuni badala ya kutenga mapema maji vuguvugu kwenye beseni na sabuni ili mkimaliza umsafishe mzee kwa mapenzi huku unamshukuru kwa kukupa mahanjam.

hapo umenkumbsha nilikwenda kwenye kitchen party mtoa mada alisema mwiko uliosongea ugali haulowekwi mwanamke shurti uoshe ndipo uendele na mambo mengine 😛ound:

Back
Top Bottom