Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Inaawezekana wewe ndiye unayejishtukia....
Hapana mkuu, sijistukii nimemwambia anivumilie, nashangaa tu kuona huyu mzee kumuimbia taarabu kidume mwenzake au ndio wanaume wa Dar walivyo?
Huko kusikiliza taarabu ameanza baada ya wewe kumpiga kalenda kuhusu kodi yake au yeye mwenyewe ni mpenzi wa taarabu tangu zamani na wewe ukaamua kuunganisha matukio....???Hapana mkuu, sijistukii nimemwambia anivumilie, nashangaa tu kuona huyu mzee kumuimbia taarabu kidume mwenzake au ndio wanaume wa Dar walivyo?
Hebu weka audio ya hzo nyimbo anazokuimbia
Huko kusikiliza taarabu ameanza baada ya wewe kumpiga kalenda kuhusu kodi yake au yeye mwenyewe ni mpenzi wa taarabu tangu zamani na wewe ukaamua kuunganisha matukio....???
Basi fanya hima umpe mzigo wake mkuu...Huyu mzee sio mpenzi wa taarabu ameanza kuimba mipasho baada ya kuona eti nachelewa kumpa kodi yake, lakini nimemwambia n'tampa.
Mtaftie pesa yake wazee wengine nuksi
Basi fanya hima umpe mzigo wake mkuu...