Je hii imekaaje? Je wives/girlfriends wanavunjiwa heshima na husband/boyfriend wenye tabia hii? Je huku ni kucheat?Husband/boyfriend anapenda kuangalia picha za ngono kwenye mitandao. Kila siku haishi kwenda kwenye ukumbi wa JF Mambo ya Kikubwa na kuzubaa huko kwa muda mrefu. Isitoshe amejiandikisha kwenye site za kingonongono kama Adult Friend Finder. Na pia ana DVDs kibao za mambo hayo, ambapo mara kibao unamfuma akiziangalia huku akiwa amejifungia chumbani/akiwa peke yake.
Yeah thats cheating..
Halafu ni vizuri kutofautisha 'mambo ya kikubwa' na mambo ya kikubwa (bila '') ..hizi phrases 2 zina maana tofauti kubwa kama vile mashariki na magharibi..
Well, mimi nazungumzia ile tabia ya kushabikia mambo ya kikubwa kwenye mitandao. Hii haina maana kuwa kuna "utokaji wa nje." Kwa maneno mengine, kuwa addictive na porn site na movies.
Halafu ni vizuri kutofautisha 'mambo ya kikubwa' na mambo ya kikubwa (bila '')
Labda pengine ungeeleza tofauti.