Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 133
Je hii imekaaje? Je wives/girlfriends wanavunjiwa heshima na husband/boyfriend wenye tabia hii? Je huku ni kucheat?Husband/boyfriend anapenda kuangalia picha za ngono kwenye mitandao. Kila siku haishi kwenda kwenye ukumbi wa JF Mambo ya Kikubwa na kuzubaa huko kwa muda mrefu. Isitoshe amejiandikisha kwenye site za kingonongono kama Adult Friend Finder. Na pia ana DVDs kibao za mambo hayo, ambapo mara kibao unamfuma akiziangalia huku akiwa amejifungia chumbani/akiwa peke yake.