Habari wana JF wote,
Nyumbani kwangu huwa kunatokea matukio ambayo mimi nayaita ya ajabu kwani kuna mtu nisiyemfahamu anajisaidia haja kubwa pembeni kabisa ya nyumba yangu sasa sijui anakuwa na lengo gani.
Sasa nataka nijue kama anafanya ulozi au nini! Na kama ni ulozi nini itakuwa dawa ya kumkomesha huyo asidi?
Naomba ushauri wenu ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia hii mbaya.