Na kumvizia je umkule bakora!!Habari wana JF wote, Nyumbani kwangu uwa kunatokea matukio ambayo mimi nayaita ya ajabu kwani kuna mtu nisiye mfahamu anajisaidia haja kubwa pembeni kabisa ya nyumba yangu sasa sijui anakuwa na lengo gani. Sasa nataka nijue
kama ulozi au nini! Na kama ni ulozi nini itakuwa dawa ya kumkomesha huyo asidi?
Naomba ushauri wenu ili fundisho kwa watu wenye tabia hii mbaya.
Inakuwa ngumu kidogo kwa sababu inaonekana huyo mtu lazima anafanya usiku mwingi na sio kama anafanya kila siku.Na kumvizia je umkule bakora!!
Kanauzwa shilingi ngapi?Weka CCTV kale kakificho kanunue kisutu kwa wachina
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnalewa mnakunya pembeni wenyewe halafu mnasingizia uchawi
Nani aloge kwa kunya ?
mkuu habari? wanauza bei gani hizo kamera?Weka CCTV kale kakificho kanunue kisutu kwa wachina
Mchawi namba moja ni wewe na hisia zako, jikomeshe mwenyewe kwa kuacha hizi fikra potofu.Sasa nataka nijue kama anafanya ulozi au nini! Na kama ni ulozi nini itakuwa dawa ya kumkomesha huyo asidi?
Nimeomba ushauri kwahiyo hata hayo maoni yako nayapokea wala usifikiri nitakutusi au kukudharau.Mchawi namba moja ni wewe na hisia zako jikomeshe mwenyewe kwa kuacha hizi fikra potofu.
Jiulize kama ni uchawi, unalogwa kwa lipi?
Kwa maelezo yako tu inaonesha unaishi uswahilini, sasa je ni nini kimebadilika kwako mpaka hao majirani wakuloge?
Tafuta pesa upeleke watoto shule!
Yaani ni niache choo ndani niende kujisaidia nje! Hivi una akili wewe? Soma kitu vizuri ndio uchangie au wanzuki ulizokunywa ndio zinakuzingua?Mnalewa mnakunya pembeni wenyewe halafu mnasingizia uchawi
Nani aloge kwa kunya ?