MWISHO WA SHAMBA
Member
- Sep 25, 2023
- 22
- 38
ninunue gari nyingine kwasababu ya usukani tu kupotezamuonekano au ulikuwa na sababu ngingine ikiyokupelekea kunishauri hivyo?nunua gari nyingine ningekushauri …
ninunue gari nyingine kwasababu ya usukani tu kupotezamuonekano au ulikuwa na sababu ngingine ikiyokupelekea kunishauri hivyo?
Ok asante kwa ushaurinimeona kama imekongoroka sana na kui fix ni bora gari nyingine, sidhani kama unaweza enjoy driving (tena) kwa hali hiyo, hasa kwa safari ndefu …
Ok asante kwa ushauri