Je, huu usukani naweza kuurekebisha ukakaa sawa?

Je, huu usukani naweza kuurekebisha ukakaa sawa?

Joined
Sep 25, 2023
Posts
22
Reaction score
38
Hii gari iligonga, baada yakugonga nikama AIR BAG ilitaka kuchomoka lkn haijachomoka.

Kuna fundi amenishauri ninunue usukani mwingine lakini kwa macho yangu mimi japo sio fundi naona kama panarekebishika japo sina uhakika, sasa nimeleta kwenu watalamu mnishauri.

Nipo Mbeya
20240722_111018.jpg
 
ninunue gari nyingine kwasababu ya usukani tu kupotezamuonekano au ulikuwa na sababu ngingine ikiyokupelekea kunishauri hivyo?

nimeona kama imekongoroka sana na kui fix ni bora gari nyingine, sidhani kama unaweza enjoy driving (tena) kwa hali hiyo, hasa kwa safari ndefu …
 
Ishu ndogo sana nunua airbag nyingine funga. Zipo zinauzwa tena iyo ya kwako kwa laki na nusu unapata Ilala. Au mpigie uyo kijana mfanye biashara 0620594519.
 
Back
Top Bottom