Kupuuza jambo lisilo na tija ni akili. Suluhisho litapatikana huko mbeleni.Kutofuatilia ndio suluhisho Mkuu?
Wakati mwingine unajiuliza huyu CAG motive ya ukaguzi hasa ni nini, kujua faida na hasara kwa maana ya cash...?
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma ili kuthibitisha matumizi yamefanywa kwa mujibu wa sheria na kanuni husika na kuna uwazi katika matumizi ya fedha hizo.
Ufuatiliaji wa uwasilishwaji wa ripoti hizi ni muhimu kwa wananchi ili kuhakikisha kuna uwajibikaji na wote waliohusika kwenye ufisadi na ubadhirifu wa fedha za umma wanachukuliwa hatua stahiki.
Pole sana uelewa wako mdogo sana au unacikiri nini kufanyike ili sasa wananchi wapaye chomvo kinacho jiyegemea amabcho kinaweza kuwapa taarifa za mapato na matumizi ya nchi yao, mana unataka ifutwe tuMnakuwa na mkaguzi CAG kazi yake ni kuonyesha kasoro tu, nini chanzo cha kasoro aliyoiona hasemi, kasoro irekebishweje hasemi..bora CAG asiwepo kabisa.haya ndio madhara ya kukopi kopi kila kitu..kwa sasa hakuna haja ya kuwa na CAG.
Sisi tumechagua Rais na Bunge, hao wataangalia maslahi yetu, sisi tuendelee na mambo mengine ya maendeleo
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma ili kuthibitisha matumizi yamefanywa kwa mujibu wa sheria na kanuni husika na kuna uwazi katika matumizi ya fedha hizo.
Ufuatiliaji wa uwasilishwaji wa ripoti hizi ni muhimu kwa wananchi ili kuhakikisha kuna uwajibikaji na wote waliohusika kwenye ufisadi na ubadhirifu wa fedha za umma wanachukuliwa hatua stahiki.
What next??Ofisi ya CAG ifutwe na bunge lifutwe pia
Waongoze JWTZWhat next??