Je, huyu anaesemwa na Wema Sepetu kwenye tangazo hili la dawa za Mkongo, anaweza kushitaki kwa udhalilishaji kwa manufaa ya kibiashara?

Icho kidada cha singida kina penda mechi ya masaa 3+ sasa icho kibabu CK sijui kilitegemea nini ? Vitu vingine bwanaa

Wadada wa singida mmewakilishwa kilio chenu na ndugu yenu
Hivi wema ni wa singida au mama yake ndo wasingida, wema baba yake ni mnyamwezi. Mbona huwa mnakataa mkiambiwa Mh. Nape ni wasingida? Wakati mama yake Nape naye ni wasingida
 
Wema bana, kuna yule X wake aliaema huwa anaishi leo tu kesho anamuachia maulana
 
Alijichimbia sehemu akaibuka na kiuno cha nyigu na wembamba kama sindano. Hongera zake.
 
Huyo mwanamke ni mtangazaji au mwanamuziki wa wapi? Na huyo CK naye aanashughulika na nini? Maana nanyinajitolea watu insta mnaleta huku JF utadhani nasi tunawafahamu
 
Kuna baadhi ya wanawake ni ngumu sana kuwa na nguvu za kiume ukiwa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…