britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
je akiwa nje ya nchi ndo sheria hazimuhusu?Anarusha mitusi akiwa Chicago, aje hapa Kisumu arekodi hiyo video aone hizo ndevu kama hazijahamia makalioni!
hujasikia tusi hapo?Mbona hueleweki, taja ni nani na tusi lipo vipi! Lumumba bhana!
Adhabu ya kunyongwa mpaka kufa huku amejinyea
kabisaNoma sana!
Mbona hueleweki, taja ni nani na tusi lipo vipi! Lumumba bhana!