britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Upinzani mara zote hutumia njia zisizo sahihi kufikisha ujumbe na hisia zao bila kujua kama zinaweza kuwaweka kwenye matatizo makubwa,
huyu mtu asipofungwa sijui, huwezi kumdhalilisha rais wa nchi namna hii lazima hatua zichukuliwe, tuheshimu mamlaka zetu
Ushauri kwa Kenya igeni mkono wa Chuma wa Tanzania , CHUMA