Je huyu anastahili adhabu gani kwa kumtusi Rais namna hii?

Hayakuhusu, mkono wa chuma si udikiteita? ICC inamsubiri!
 
mm cjaona alpokosea. nidhamu za uoga na kujinyenyekeza tulzpandkizwa na Ccm ndo znafanya uone katukana na kutoa solution ya ovyo namna hyo,,,,we unadhan Kenyatta hastahili matusi hayo kwa ujnga anaofanya
 
Mamlaka za watawala ktk nchi zimewekwa na. mungu ni vyema tukaziheshimu.

Kuna baadhi ya makadisayo na mafarisayo wanaotanguliwa na makahaba kuuona ufalme wa mbingu wameanza kutupotosha watanzania eti hawatatikiswa na mtu yeyote.

Nasema ole wenu enyi mafarisayo mtaangamia KWA kukosa maarifa, kujaa viburi na kukosa hekima.

Wakuu Someni biblia siyo maneno yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…