Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upinzani mara zote hutumia njia zisizo sahihi kufikisha ujumbe na hisia zao bila kujua kama zinaweza kuwaweka kwenye matatizo makubwa,
huyu mtu asipofungwa sijui, huwezi kumdhalilisha rais wa nchi namna hii lazima hatua zichukuliwe, tuheshimu mamlaka zetu
Ushauri kwa Kenya igeni mkono wa Chuma wa Tanzania , CHUMA
HahahahaAnarusha mitusi akiwa Chicago, aje hapa Kisumu arekodi hiyo video aone hizo ndevu kama hazijahamia makalioni!
Hapo sasaWewe nawe unahitaji adhabu kali pia kwa kusambaza video ya matusi as per cyber crime act!!