SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Majibu ni HAPANA ndugu, katika mkataba wake hakuna kipengele chochote kinachozungumzia ishu ya MFUKO WA JAMII..Kwanza naomba ujibu maswali yafuatayo kabla sijakushauri.
1. Je mkataba wake umeahinisha wazi kwamba atakua anakatwa % ama muajiri atakua anatoa % kwaajili ya mfuko wa hifadhi..??
2. Salary slp yake inaonyesha kwamba alikua anachangia mfuko wa hifadhi...??
Kama majibu ni hapana na amefanya kazi kwa miaka 5, basi hilo ni kosa ambalo mwajiri wake anatakiwa kuburuzwa mahakamani na mfuko wa hifadhi pamoja na huyo muajiriwa pia.
Imekula kwake na kwa mwajiri wakeMajibu ni HAPANA ndugu, katika mkataba wake hakuna kipengele chochote kinachozungumzia ishu ya MFUKO WA JAMII..
Mfuko wa jamiii ni takwa la kisheria hivyo kila mwajiri lazima hakikishe anapeleka 20 percent ya mwajiriwa wake kila mwezi na kama hafanyi hivyo ni kinyume na Sheria hata kama mkataba wake hausemi hivyo na kama alikua amkati alikua anafanya kosa ambalo anastahili adhabu na inatakiwa amlipe Ile asilimia 10 ambayo alipaswa amchangia kwa miaka yote minneMajibu ni HAPANA ndugu, katika mkataba wake hakuna kipengele chochote kinachozungumzia ishu ya MFUKO WA JAMII..
Asante.Mfuko wa jamiii ni takwa la kisheria hivyo kila mwajiri lazima hakikishe anapeleka 20 percent ya mwajiriwa wake kila mwezi na kama hafanyi hivyo ni kinyume na Sheria hata kama mkataba wake hausemi hivyo na kama alikua amkati alikua anafanya kosa ambalo anastahili adhabu na inatakiwa amlipe Ile asilimia 10 ambayo alipaswa amchangia kwa miaka yote minne