Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

leta picha mkuu
Kama humfahamu huyu mwamba, basi maisha yako ni mafupi sana. Mtu anapata impression ya account 40,000 kila siku ndani ya YouTube ambazo 72 - 76 % ni Tanzania na Kenya unashindwaje kumfahamu?

Yaani ni sawa na mtu alete uzi wa Diamond halafu useme humjui hadi uletewe picha. Weka bando mkuu, acha kutia 50MB halafu utegemee kuYutubika
 
Youtube naingiaga mara kwa miezi hata 2, siukubali tu huo mtandao.
 
Kama humfahamu huyu mwamba, basi maisha yako ni mafupi sana. Mtu anapata impression ya account 40,000 kila siku ndani ya YouTube ambazo 72 - 76 % ni Tanzania na Kenya unashindwaje kumfahamu?

Yaani ni sawa na mtu alete uzi wa Diamond halafu useme humjui hadi uletewe picha. Weka bando mkuu, acha kutia 50MB halafu utegemee kuYutubika
Mimi YouTube naingia kila wakati ila sijakutana na huyo mwamba
 
Kama humfahamu huyu mwamba, basi maisha yako ni mafupi sana. Mtu anapata impression ya account 40,000 kila siku ndani ya YouTube ambazo 72 - 76 % ni Tanzania na Kenya unashindwaje kumfahamu?

Yaani ni sawa na mtu alete uzi wa Diamond halafu useme humjui hadi uletewe picha. Weka bando mkuu, acha kutia 50MB halafu utegemee kuYutubika
Haya maelezo yasingehitajika kama ungeweka picha tu mkuu
 
Kama humfahamu huyu mwamba, basi maisha yako ni mafupi sana. Mtu anapata impression ya account 40,000 kila siku ndani ya YouTube ambazo 72 - 76 % ni Tanzania na Kenya unashindwaje kumfahamu?

Yaani ni sawa na mtu alete uzi wa Diamond halafu useme humjui hadi uletewe picha. Weka bando mkuu, acha kutia 50MB halafu utegemee kuYutub

tuweke picha tumjue
 
Kama humfahamu huyu mwamba,basi maisha yako ni mafupi sana. Mtu anapata impression ya account 40,000 kila siku ndani ya YouTube ambazo 72 - 76 % ni Tanzania na Kenya unashindwaje kumfahamu?

Yaani ni sawa na mtu alete uzi wa Diamond halafu useme humjui hadi uletewe picha. Weka bando mkuu, acha kutia 50MB halafu utegemee kuYutubika
Yani usipowajua hao watu ndio maisha ya mtu yanakua mafupi?

Je ni nani aliwahi kua na maisha mafupi kwa kutowajua hao?
Ni nani amewahi kua na maisha marefu kwa kuwajua hao?
Maisha mafupi na marefu yanapimwa kwa hesabu gani?

Kwani huyo Steve na Diamond ndio kina nani huko Daslam mkuu?
 
Kama humfahamu huyu mwamba, basi maisha yako ni mafupi sana. Mtu anapata impression ya account 40,000 kila siku ndani ya YouTube ambazo 72 - 76 % ni Tanzania na Kenya unashindwaje kumfahamu?

Yaani ni sawa na mtu alete uzi wa Diamond halafu useme humjui hadi uletewe picha. Weka bando mkuu, acha kutia 50MB halafu utegemee kuYutubika
Hivi maaana ya great thinker ni nini???

Tusije tukawa tunapotezeana muda hapa!!
 
Kama humfahamu huyu mwamba, basi maisha yako ni mafupi sana. Mtu anapata impression ya account 40,000 kila siku ndani ya YouTube ambazo 72 - 76 % ni Tanzania na Kenya unashindwaje kumfahamu?

Yaani ni sawa na mtu alete uzi wa Diamond halafu useme humjui hadi uletewe picha. Weka bando mkuu, acha kutia 50MB halafu utegemee kuYutubika
Nimeshangaa sana hata mi simjui mbona
 
Back
Top Bottom