Hicho sio kipimo cha mimba.....
Hicho in kipimo kinachopima ute after hedhi.... Unachukua kijiti ( cotton stick) unaingiza ukeni then utapaka kdg kwenye hicho kidide unakaa kwa dakika chache ili kupata rangi..
Baada ya hapo unalinganisha hizo rangi kama kinavyojieleza